Tetesi: Kuna waziri ananunua mtaa mzima, vyombo vya usalama utafikiri hawajui!

Tetesi: Kuna waziri ananunua mtaa mzima, vyombo vya usalama utafikiri hawajui!

Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni!
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima .
Mnaonaje wakuu?
Nilidhan anapora,kumbe ananunua? Kosa lipo wapi hapo?? Labda amechukua mkopo then akahamua kuwekeza kwenye majengo
 
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
Sasa kwanini umeshindwa kumtaja huyo waziri ?
NASHAURI AZIMIO LA ARUSHA LIRUDISHWA KWA WATU WOTE WENYE MALI KWA NYINGI NA WALIO WAI KUWA VIONGOZI SERIKALINI KUPOKONYA ASILIMIA 70 YA MALI ZAO.
 
MTAJE AONE AIBU......
Hapa ndipo tumefika kama Taifa na wala watu hawashituki tena, iko wazi salary za wabunge, mawaziri na watumishi wote wa serikali zinajulikana ,na mpaka maisha yao kabla ya utumishi yanajulikana, je hizo mali wanazipata kwa fedha zipi?.

Kwa nchi zenye wazalendo viongozi wa aina hii walitakiwa kuwa kikaangoni kwa uchunguzi na wakibainika hulipa fidia ya wizi wao Kwa taifa either kutaifishwa mali zao au kifungo.

Tukubali tu kwasasa hatuna viongozi bali majambazi chini ya jambazi mkuu SAMIA SULUHU HASSAN.
 
Back
Top Bottom