Tetesi: Kuna waziri ananunua mtaa mzima, vyombo vya usalama utafikiri hawajui!

Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
Hakuna viongozi waadilifu
 
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?

Jina la waziri na mtaa vyote vimefichwa, hii kama sio majungu ni nini?
 
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
kuishi kwa porojo au uzushi ni vitu useless na nonsense sana katika maisha ya sasa gentleman
 
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
Watu wanapoamua kuua wenzao ili waendelee kubaki madarakani kwa mabavu, usifikiri kuna mchezo hapo.

Lakini mkuu 'Jidu' hata 'hint' tu ya mtaa huwezi? Historia yako inajulikana humu; wengine tutajazia kwenye hizo 'dash dash' unazotuachia tuzijaze. Zile kandarasi zimegeuziwa upande mwingine?
 
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mamananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
Bado una fikra za kijamaa?
 
or really? then how is it that watanzagiza wanazamia usa na ulaya?

labda kama ulimaanisha maisha ya ccm politburo na familia zao hapo ni kweli lkn mtanzagiza wa kawaida will kill to get a chance to live in a Christian Capitalistic and democratic country …
Wanaozamia ni kutokana na ushamba na ulimbukeni kutokana na picha picha wanazoziona kwenye movies.
 
JF ya zamani ilikuwa inaogopwa na serikali sababu kama mtu akitoa tuhuma anaweka ushahidi na vielelezo vyote
Siku hizi ni kujilopokea
 
Kama alivyo baba ndivyo walivyo watoto wake.
 
Back
Top Bottom