Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
- #81
Umbea ni dili!Umbea na wivu
Kuna watu wameajiriwa kwa hilo tu!!!
Lakini watu wenye akili kukuzidi wakasema, penye kufuka moshi.....!
Umbea ni dili!Umbea na wivu
Watu waliojairiwa kufuatilia umbea wako likizo yenye malipo!Umbea ni dili!
Kuna watu wameajiriwa kwa hilo tu!!!
Lakini watu wenye akili kukuzidi wakasema, penye kufuka moshi.....!
Hvy cheyo anapesa ganiAna Mapesa Kama John Momose Cheyo
Njoo Nikujaze Mahela
Baba mkwe wake Samuya 😹😹Ni yule kifua sijui kimefanyaje sijui?
Kuna mtu anauza na kuna mtu ananunua-biashara. Ubaya uko wapi..?Nilidhan anapora,kumbe ananunua? Kosa lipo wapi hapo?? Labda amechukua mkopo then akahamua kuwekeza kwenye majengo