Tetesi: Kuna waziri ananunua mtaa mzima, vyombo vya usalama utafikiri hawajui!

Tetesi: Kuna waziri ananunua mtaa mzima, vyombo vya usalama utafikiri hawajui!

Kwani hairuhusiwi?
Kama Taifa tuna hasara ya watu aina yenu, mtumishi wa serikali mwenye background ya maisha ya umasikini wa kutisha, kapata cheo juzi, leo anamiliki mali ambazo hata wafanyabiashara wakubwa hawana, kwanini tusihoji?.

Someni sheria na katiba mjue haki zenu, mnatuchelewesha wajinga aina yenu
 
Upumbavu, umbea na ushakunaku !!!!

Unatumia fake ID.... unatuletea habari hata haieleweki na wewe umeiokota huko !!!!

Uje na habari kamili...flani ni mmbadhirifu , anafanya moja mbili tatu... kwa cheo na muda aliokaa kazini ametoa wapi hizi hela ?

Nb... kununua sio kosa ... Huenda mtu ana assets zake ameziombea mkopo bank, anataka kuwekeza kwenye real estate....Acha wivu wa kike
 
Wewe umeshawahi kuchukua mkopo bank ukaona terms and conditions, au unafikiri ni kama kikoba.....
Usifikiri ukiwa Waziri ukaenda bank ukasema upewe 300,000,000 utapewa?
Huna akili na njaa inakusumbua! Ndiomaana kutwa unaomba omba tu! Kwani hawezi kukopea mshahara wake! Then akafanya uwekezaji? Halafu usichokijua wengine ni mawaziri lakini before walikuwa ni wafanyabiashara pia! na Wana Mali za familia....
 
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
Unajua sisi watanzania mawazo yetu ni ya kijingajingajingaaaaaa. na ya kishambashambaaa, 'so to say' .Sasa ameiba mtaa mzima au amenunua kwa pesa yake ,na je walionunuliwa wamekubali ? sasa ulitaka aje mgeni kutoka nje aje anunune ? je angekuwa siyo kiongozi anaruhusiwa kununua huo mtaa? . Tuachane kabisa na mawazo ya kilofalofa kama haya Jitu la Mabambasi.Wivu ,majungu,mdomomdmo ni hasara kwa maendeleo yetu.Kuwa kiongozi katika serikali wala siyo kama unakuwa mfungwa na huna haki ya kufanya maendeleo yako.Na kama ameiba au una wasiwasi na mali zake toa taarifa kwa vyombo halali vipo, na vitashughulika naye.
 
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
Hata kama hauuzi unalazimishwa kuuza?

Halafu muwe mnawataja wazi hao mafisadi ili tuwajue 'waone aibu'.
 
Hata mkuu wa tiiissss amenunua mtaa mzima Kinondoni, huu ni wakati wa kuhomola kila ntu anakula kwa urefu wa kamba yake na uzuri adhabu ni kuzomewa maisha yanaendelea , hakika Samia anaupiga mwingi sana hadi unamwagika.
 
Waacheni watanzania wamiliki utajiri wa nchi yao hao kuliko mitaa ijae wawekezaji wa kichina na kiarabu bora watanzania wenyewe wamiliki ardhi yao hao walionunuliwa wataenda kununua wengine huko tena maelfu ya ekari nao pia mtasema ni mafisadi

Ujamaa hausaidii ndugu zangu Serikali haiwezi kumiliki kila kitu cha nchi hii acheni watanzania wawe matajiri ndio maendeleo hayo
 
Kama Taifa tuna hasara ya watu aina yenu, mtumishi wa serikali mwenye background ya maisha ya umasikini wa kutisha, kapata cheo juzi, leo anamiliki mali ambazo hata wafanyabiashara wakubwa hawana, kwanini tusihoji?.

Someni sheria na katiba mjue haki zenu, mnatuchelewesha wajinga aina yenu
Sawa ndugu Mtanzania Mnyonge wa kutupwa!
 
Upumbavu, umbea na ushakunaku !!!!

Unatumia fake ID.... unatuletea habari hata haieleweki na wewe umeiokota huko !!!!

Uje na habari kamili...flani ni mmbadhirifu , anafanya moja mbili tatu... kwa cheo na muda aliokaa kazini ametoa wapi hizi hela ?

Nb... kununua sio kosa ... Huenda mtu ana assets zake ameziombea mkopo bank, anataka kuwekeza kwenye real estate....Acha wivu wa kike
Ni wewe nini?
Umepata wapi fedha za kununa mtaa mzima?
Uzuri uliowanunua ndio wanabwabwaja na fedha viti virefu!
 
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
Vyomba vya usalama viko kuhakikisha viongoz wana thrive, wako too corrupted kwa sasa
 
Back
Top Bottom