Tetesi: Kuna waziri ananunua mtaa mzima, vyombo vya usalama utafikiri hawajui!

Tetesi: Kuna waziri ananunua mtaa mzima, vyombo vya usalama utafikiri hawajui!

Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
Ipo siku wataitapika hiyo mitaa
 
Ile ni ajira, na lengo la ajira ni kupata mapato, kama mfumo unakuruhusu kupata mapato zaidi hakuna namna. Muhimu tu, na wewe upambane upate hiyo ajira.​
 
Nawewe tafuta pesa ununue wilaya nzima. Dawa ya moto ni moto, kutia huruma hakisaidii.

katika mfumo wa kibepari hakuna Huruma.

We huoni Trump anachotufanyia duniani kwenye mafuta

huo siyo ubepari, tanzagiza hakuna capitalism, mmedanganywa sana, capitalism siyo uporaji and corruption, bali ni checks and balances, rule of law and democracy.

hiyo ya tanzagiza na afrika kwa ujumla ni communism na siyo capitalism.

eleweni kwanza maana ya hii mifumo na siyo kurusha tu maneno, hakuna hata nchi moja inayofuata capitalism afrika, last ilikuwa south afrika lkn sasa hivi anc wameleta communism na imekuwa sawa na afrika …
 
huo siyo ubepari, tanzagiza hakuna capitalism, mmedanganywa sana, capitalism siyo uporaji and corruption, bali ni checks and balances na democracy.

hiyo ya tanzagiza na afrika kwa ujumla ni wizi na uporaji na siyo capitalism.

eleweni kwanza maana ya hii mifumo na siyo kurusha tu maneno, hakuna hata nchi moja inayofuata capitalism afrika, last ilikuwa sa lkn sasa hivi anc wameleta communism na imekuwa sawa na afrika …
Acha ujinga , hakuna mfumo wa kibepari wenye kuzingatia haki za wengine. Mfumo wa capitalism ili usife lazima pawepo na kundi la wengi linalonyonywa.
 
Acha ujinga , hakuna mfumo wa kibepari wenye kuzingatia haki za wengine. Mfumo wa capitalism ili usife lazima pawepo na kundi la wengi linalonyonywa.

siyo kweli north amerika, australia, Europe, Japani, south korea, zote capitalism, democratic na prosperous, kwanza nchi ambazo communist na islam kama afrika na middle east ndiyo masikini, uporaji na umafia wote uko huko …
 
siyo kweli, USA, kanada, australia. Europe, Japani, south korea, zote capitalism, na prosperous, kwanza nchi ambazo siyo capitalistic kama afrika na middle east ndiyo masikini, uporaji na umafia wote uko …
Maisha ya mtanzania wa kawaida ni ndoto ya raia wa kawaida wa USA.
 
Huna akili na njaa inakusumbua! Ndiomaana kutwa unaomba omba tu! Kwani hawezi kukopea mshahara wake! Then akafanya uwekezaji? Halafu usichokijua wengine ni mawaziri lakini before walikuwa ni wafanyabiashara pia! na Wana Mali za familia....

Ukikopea mshahara, sana sana utaishia kupata 50,000,000 .
Lakini pia unatetea hoja kwa sababu za kusadikika kwani Waziri mwenyewe hata hajulikani... pengine ni tetesi tu....
Lakini, hata kama unakula hela ya uchawa lazima ujue kutumia akili, tofauti na hapo utawachafua badala ya kuwasafisha.....
 
Maisha ya mtanzania wa kawaida ni ndoto ya raia wa kawaida wa USA.

or really? then how is it that watanzagiza wanazamia usa na ulaya?

labda kama ulimaanisha maisha ya ccm politburo na familia zao hapo ni kweli lkn mtanzagiza wa kawaida will kill to get a chance to live in a Christian Capitalistic and democratic country …
 
Nilidhan anapora,kumbe ananunua? Kosa lipo wapi hapo?? Labda amechukua mkopo then akahamua kuwekeza kwenye majengo
Mtu ukijaaliwa ujinga, wanaokusikiliza na walikaribu nawe wanakusonya kimoyomoyo kwa ujinga wako.
 
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
Tanzania ipo kwa kudra za mwenyezi mungu tu
 
huo siyo ubepari, tanzagiza hakuna capitalism, mmedanganywa sana, capitalism siyo uporaji and corruption, bali ni checks and balances, rule of law and democracy.

hiyo ya tanzagiza na afrika kwa ujumla ni communism na islam na siyo capitalism.

eleweni kwanza maana ya hii mifumo na siyo kurusha tu maneno, hakuna hata nchi moja inayofuata capitalism afrika, last ilikuwa south afrika lkn sasa hivi anc wameleta communism na islam na imekuwa sawa na afrika …
Mhh
 
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni

Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima

Mnaonaje wakuu?
Unazungumzia hivi vyombo vya usalama vilitoa tamko na kutekeleza amiri batili ya kuua raia kwenye uchaguzi wa 2025?
Au unazungumzia vyombo vya usalama vinavosaidia CCM waibe kura na kuingia madarakani kwa dhulma?
 
Huyo atakuwa ni ridhiwani au abdul maana hawa jamaa wametuathiri sana sisi wachimbaji madini.Tukigundua tu madini wao wanakata leseni na kuja kutufukuza kwa kigezo cha uwekezaji.Na uwekezaji wenyewe wanawakodisha wachina.
 
Back
Top Bottom