Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Nilidhan anapora,kumbe ananunua? Kosa lipo wapi hapo?? Labda amechukua mkopo then akahamua kuwekeza kwenye majengoSasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni!
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima .
Mnaonaje wakuu?
Kama huwezi kutaja jina la huyo waziri unataka sisi tutekeleze vipi majukumu yetu?Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima
Mnaonaje wakuu?
Hata wewe unalalamika chini chini hujaweka hata jina.Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima
Mnaonaje wakuu?
Mwacheni tuu ni mambo ya kula kwa urefu wa kambaSasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima
Mnaonaje wakuu?
Sasa kwanini umeshindwa kumtaja huyo waziri ?Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima
Mnaonaje wakuu?
Wewe umeshawahi kuchukua mkopo bank ukaona terms and conditions, au unafikiri ni kama kikoba.....Nilidhan anapora,kumbe ananunua? Kosa lipo wapi hapo?? Labda amechukua mkopo then akahamua kuwekeza kwenye majengo
Nishamjuwa huyo,wako kama 3 ila mmoja ni balaaMwacheni tuu ni mambo ya kula kwa urefu wa kamba