Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,876
- 7,621
Kama Taifa tuna hasara ya watu aina yenu, mtumishi wa serikali mwenye background ya maisha ya umasikini wa kutisha, kapata cheo juzi, leo anamiliki mali ambazo hata wafanyabiashara wakubwa hawana, kwanini tusihoji?.Kwani hairuhusiwi?
Huna akili na njaa inakusumbua! Ndiomaana kutwa unaomba omba tu! Kwani hawezi kukopea mshahara wake! Then akafanya uwekezaji? Halafu usichokijua wengine ni mawaziri lakini before walikuwa ni wafanyabiashara pia! na Wana Mali za familia....Wewe umeshawahi kuchukua mkopo bank ukaona terms and conditions, au unafikiri ni kama kikoba.....
Usifikiri ukiwa Waziri ukaenda bank ukasema upewe 300,000,000 utapewa?
Unajua sisi watanzania mawazo yetu ni ya kijingajingajingaaaaaa. na ya kishambashambaaa, 'so to say' .Sasa ameiba mtaa mzima au amenunua kwa pesa yake ,na je walionunuliwa wamekubali ? sasa ulitaka aje mgeni kutoka nje aje anunune ? je angekuwa siyo kiongozi anaruhusiwa kununua huo mtaa? . Tuachane kabisa na mawazo ya kilofalofa kama haya Jitu la Mabambasi.Wivu ,majungu,mdomomdmo ni hasara kwa maendeleo yetu.Kuwa kiongozi katika serikali wala siyo kama unakuwa mfungwa na huna haki ya kufanya maendeleo yako.Na kama ameiba au una wasiwasi na mali zake toa taarifa kwa vyombo halali vipo, na vitashughulika naye.Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima
Mnaonaje wakuu?
Hata kama hauuzi unalazimishwa kuuza?Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima
Mnaonaje wakuu?
Nasikia mkwe nae huko sinza kama unauza eneo nyumba, haulizi bei na wala hataki kupatana.Mwacheni tuu ni mambo ya kula kwa urefu wa kamba
Duuu....!Nawewe tafuta pesa ununue wilaya nzima. Dawa ya moto ni moto, kutia huruma hakisaidii.
katika mfumo wa kibepari hakuna Huruma.
We huoni Trump anachotufanyia duniani kwenye mafuta
Bila wananchi kujitoa ,Taifa hili linakufa vibaya sanaSasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima
Mnaonaje wakuu?
Huu ni umbea
Watu wanauza, yeye ananunua, kuna shida gani bwana tecdema
Kwani mko hapo kwa bahati mbaya?Kama huwezi kutaja jina la huyo waziri unataka sisi tutekeleze vipi majukumu yetu?
Sawa ndugu Mtanzania Mnyonge wa kutupwa!Kama Taifa tuna hasara ya watu aina yenu, mtumishi wa serikali mwenye background ya maisha ya umasikini wa kutisha, kapata cheo juzi, leo anamiliki mali ambazo hata wafanyabiashara wakubwa hawana, kwanini tusihoji?.
Someni sheria na katiba mjue haki zenu, mnatuchelewesha wajinga aina yenu
Ni wewe nini?Upumbavu, umbea na ushakunaku !!!!
Unatumia fake ID.... unatuletea habari hata haieleweki na wewe umeiokota huko !!!!
Uje na habari kamili...flani ni mmbadhirifu , anafanya moja mbili tatu... kwa cheo na muda aliokaa kazini ametoa wapi hizi hela ?
Nb... kununua sio kosa ... Huenda mtu ana assets zake ameziombea mkopo bank, anataka kuwekeza kwenye real estate....Acha wivu wa kike
Vyomba vya usalama viko kuhakikisha viongoz wana thrive, wako too corrupted kwa sasaSasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima
Mnaonaje wakuu?
Sisi hatufanyii kazi mambo ya umbea.Kwani mko hapo kwa bahati mbaya?
Kashajenga huko dubai za kutosha kaamua kununua mtaaAtoe pesa ya kutosha tu, Bora huyo ananunua hapa bongo, Kuna ******* wanaiba na kwenda kujenga Dubai na South Africa
Kwenu ujinga unatawal.Sisi hatufanyii kazi mambo ya umbea.