King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tyre zinafunguliwa zote ndani ya dk 10 tu
Duh mpaka tairi? Ila kuna mahali walimdaka mmoja..akapata haki yakeHabari wana JF
Kuna wizi mpya wa vifaa vya magari naona umekithiri sana huko maeneo ya Goba, Mbezi, Temeke watu wanaibiwa sana vifaa naomba Ma RC , POLISI N.K walishugulikie hili swala wezi wanajulikana n wanaonunua hivo vifaa vya wizi wanajulikanaa.
View attachment 1757830
Good idea thank u so muchUkiwa unamiliki gari ni vyema uwe na watu wako kwa kila unachohitaji sio kila mtu kumkabidhi gari yako...
Au la hasha unaweza pitia fundi wako wa gereji kupata msaada kama huo wa tinted n.k
Walimcheleweshia nini huyu mwizi? Wangetia tairi piga kiberitiShida hawa jamaa huyu walimkamataView attachment 1758877View attachment 1758879View attachment 1758880View attachment 1758885View attachment 1758884
Kwaiyo tuchome moto sio!Kama mnamjua mnashindwa vipi kumuua? Watu dhaifu kabisa
Hiyo ndio dawaKwaiyo tuchome moto sio!
Akumbukwe kwa lipi?kama angetaka akumbukwe angeacha mifumo imara hata angeondoka ingeendelea kusimamia aliyoyafanya..ila kwakua alijiona mungumtu..acha afie mbali...nadhani sasa mtajifunza kuacha kuabudu mtu."Siku moja mtanikumbuka kwa mambo mazuri" Alipata kunena.
Heee afu kweliRC aache kulala usingizi, mji umekuwa shida sasa. Watu wameanza kuiba hadi papai na ndizi za bustani unadhani kuna nini kinakuja!
Mtu mmoja kufa ndio kila upuuzi urudi kwa kasi hivi?
Ulidhani mnatakiwa kunywa nao bia?Kwaiyo tuchome moto sio!
Ume someka mkuu ngoja waingie kwenye angle yangu!Ulidhani mnatakiwa kunywa nao bia?
Imesambaa sana ile video, jamaa waeharibu vibaya sana. Yaani hata kama hujawahi kupiga mwizi, ukiona uharibifu ule lazima siku ukikamata mwizi usulubishe.wiki jana meona picha ya video ya wizi ulofanyika kwenye gari aina ya VANGUARD dah yaani hao jamaa wanafanya uharibifu wa hatari
Anakamatwa afu hakuna anayeenda fungua kesi au kuwa shahidiMwezi jana alitambulika mwizi aliye vunja Duka na kuiba maeneo ya Madale kituo kipya cha polisi mwizi alikutwa na sare za polisi na jeshi nyumbani kwake Mwizi ajulikanae kwa jina la ACHIMWELE ! Amesumbua sana Madale ila muda mfupi polisi wa kituo hicho walimuachia! Kwaiyo sio suala la wenye viti tu ata polisi wasio waminifu wana walinda!
Ombi wahusika wafuatilie kituoni hapo