Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

wezi wapo mitaani kwetu, tunaishi nao, tuwafichue.

tuache tabia ya kuwalea na kuwaficha.

tuwafichue vibaka na majambazi
 
Imesambaa sana ile video, jamaa waeharibu vibaya sana. Yaani hata kama hujawahi kupiga mwizi, ukiona uharibifu ule lazima siku ukikamata mwizi usulubishe.
Jana jioni meona video ya kijana mwizi wa vifaa vya magari amekamatwa...kapigwa vibayaaa nahisi ka atapona atakuwa ametia akili
 
Kitendo cha kutegesha jeki kinachukua dakika nzima,kupump jeki karibu dakika mbili,kufungua nati dakika karibu 5....Labda wezi walikuwa zaidi ya nne na jeki nne wakafungua simultaneously.
mkuu kuna jeki ya kukanyaga na mguu ile dakika sifuri tu
 
Hao walioiba hivyo vitu wamedakwa wako mkoboni salama video hiyo hapa kwa sasa anatafutwa kubwa lao anaowatuma na kuvinunua ondoa shaka mkubwa wezi hawa hapa
Sory kwa video inatisha kama una roho jepesi plies isiifungue[emoji116][emoji116][emoji116]
Your browser is not able to display this video.
 
Na kuna mitaa ya kkoo ukienda unavikuta vitu vyako Kama vilivyo Ila utaambiwa uvinunue....!!mjini shule
Hii ilitukuta kioo cha saiti mira ile kukikuta hadi namba zimeandikwa hapo wakaona isiwe tabu wakakiachia kikadondoka chini kikavunjika vunjika kisa tumemchenjia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…