Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Ebu ngoja, sifa mojawapo ya mke wa kuoa ni lazima awe na uwezo wa kukufanya utake kumla sio unataka kumla halafu unavuta hisia Kwa wengine..Wazazi wanasema Muha ni mbaya wa sura, vipi wewe unasemaje? Hakuna mwanamke mbaya endapo utachagua kumpenda..
 
Tofauti ni kwamba Zamaradi ana hela
 
Kwani mkuu hakuna single mom ambaye hajawahi kutoa mtoto? Kwanini unaamini tu kwamba wanaotoa watoto ni wale ambao hawajazaa?
 
Kama kuna alieoa single mother na anapata changamoto, shida sio usingle mother, shida inaweza kuwa ni mwanamke peke yake hata asingekuwa single mother hizo shida zingekuwepo tu au shida ni mwanaume ana mentality ya kwamba nimeoa single mother kwa hiyo nijipange kwa hiyo anakuwa mbabe kwa huyo mwanamke kwa fikra kwamba hana pa kwenda yeye ndo mkombozi wake, nenda kaoe ila shida ni hapo pa kubadilisha dini, usijaribu
 
Mkuu tuwe wa kweli single mother wanashida nyingi hasa ukimpata yule ambaye anastruggle ya maisha
1.wameharibika kisaikojia kutokana na experience ya past relationship na ukichanganya na maumivu ya kulea na changamoto za maisha

2.hatokupenda kivile, atajifanya kukupenda ili tu umuoe but baada ya kuwa kwenye comfort zone hatakupa mapenzi kama yale ya mzazi mwenza kutokana na ile level ya kupenda ameshaivuka umemkuta kwenye kuangalia hasa maisha yake na mtoto.

3.kiporo kitausika, kama hautampa show ya maana au kumtimizia mahitaji yake kwa wakati jiandae kwa lolote.

NB: Naongea hivi mkuu sio kwa kuhadithiwa nina mahusiano na single mother naeleza kitu na experience nacho namuona kabisa hana kigezo cha kumuoa but nipo nae kwasababu ana utamu
 
Nakataa kwa herufi kubwa, mi mwanamke nimeolewa nikiwa nina mtoto na niko ndoani huu mwaka wa 3, changamoto zipo ila sababu sio usingle mother, kuwa single mother ha kuingia hata kidogo, wengine wanaongea hivyo ila wazazi wao waliolewa wako wa single mother na wapo mpaka leo
 
We jamaa ni mwalimu kama sio ni mwandishi au msomi [emoji119][emoji119][emoji119].

Uzi ufungwe
 
Sasa unabishana na Mimi ambaye nina mahusiano na Single mother hivi vitu tunavyozungumza sio kwamba tunawasingizia tunaviona kwa masingle mother wengi unakuta wengi ndio maana humu wanashambuliwa
 
Sasa yeye si alimpenda sana huyo "irresponsible man" kwahio inabidi uishi ukitambua hilo na endapo huyo irresponsible man akitaka kuloweka wala hatumii nguvu nyingi maana akimuita mpenzi wako tu kimahaba lazma amtie nyavuniπŸ˜‚
Umeona ujinga mwingine wa single maza
 
Oa mzee sio single Maza wote hawana akili, wengine Wana akili sana, na Huwa hawarudi nyuma.
 
Naona unajipiga promo kidizaini. Wewe kama ulifanya uzembe ukazalishwa nje ya ndoa basi tambua kwamba tayari umeshafungwa nyumbani hivyo upambane sana ili ukachomoe goli ugeniniπŸ˜‚
 
Acha kudanganya watu mabikra kibao wameolewa na kuachika na mwisho wa siku wanakuwa vicheche, akili kumkichwa, mwanamke ni mwanamke tuu, Ili mradi ana content kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…