Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

Achana na stori za vijiweni dogo. Kama mmeridhiana oa huyo mama. Achana na wanaokula kwa mashemeji hao. Single mother ana shida gani?

Mimi nimeoa single mother fresh kabisa mwaka unaenda wa 16 huu hakuna changamoto yoyote.
Usimdanganye mwenzako. Kwamba ndoa yako ni ya kipekee sana kiasi imekosa Changamoto?
 
Sawa maturity ni jambo moja ila ushawishi wamwanaume wengi tunaujua. Ingekuwa maturity ndo inazuia mtu kupigwa pumbu Jokate asingekuwa singo maza leo hii
 
Sasa mtu ambaye aliachika kwa cheating anawezaje kuwa mke bora? Na hii ni kwa vile uthibitisho wake unakuwa mgumu sana.

Most women atakwambia jamaa alikuwa anamnyanyasa na kumchiti and this is done by 90% ya wanawake. Hata ukimtongoza demu leo hii wakati anakubali atakupa angalizo usije ukamchiti kama flani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila kiufupi wengi wao ndio vichomi.
 
Hao singo maza wa zamani walikuwa na sababu za kuachika ama kufiwa au unyanyasaji ila sio kuwa walikuwa wanategesha mimba kama hawa wacenge wa sikuhizi kisa ndoa. Akitoswa anaanza kujifanya superwoman huku anadanga.
 
Mnapooa hao singo maza huwa mnajifikiria wenyewe tu au huwa pia mnafikiria haki za hao watoto wao kuwaona wazazi wao wakiwa pamoja pia kwenda out na baba na mama zao mara mojamoja? Yaani kumruhusu beby dady wake kuja kumchikua mtoto wake na mke wako akawapeleka out kisha kuwarudisha kwako ili tu mtoto ajifumze kitu kwa kuwaona wazazi wake pamoja wakinadilishana mawezo au wakimusngalia akicheza?
Au mnadhani mtoto hana haki hiyo?
 
Kuna mambo mawili hapo
1. Kuoa single mother
2. Single mother kubadili dini
Duuuhh vyote ni vipengele vizito, ninachojua moyo ni kichaka huwezijua kimeficha nn.
 
Sawa maturity ni jambo moja ila ushawishi wamwanaume wengi tunaujua. Ingekuwa maturity ndo inazuia mtu kupigwa pumbu Jokate asingekuwa singo maza leo hii
Nadhani haujanielewa Maturity, Hekima na Busara....

Maturity in so far as hautasikiliza maneno ya watu bali ku-follow matakwa yao bali wewe kujua unachokifanya na kujali maisha yako..., Sio wewe umependa sababu ya Uzi wa watu kuponda humu ndani unabadilika na kuishi maisha wanayotaka wao na sio wewe ulivyojipangia....

Hekima na Busara katika Malezi..., sababu watoto au binadamu anaweza akaamua au akasema kitu kwa hasira bila kumaanisha unaweza ukamkanya mtoto akaona umemuonea sababu sio mtoto wako wa kuzaa au anaweza akakujibu wewe sio Baba yangu - Hapo itabidi utumie Hekima na Busara kama Mzazi kwamba hizo ni Hasira and she/he does not mean it..., Sababu malezi na mapenzi unayotoa ni zaidi ya hata Baba yake mzazi ambaye kwa wakati huo hayupo (Kwahio mtoto, mama mzazi na hata biological father inabidi wakushukuru kwa Hekima na Busara zako)...; Life is just Perception.....
 
We huezi kushaurika,cis ushafanya maamuzi,KAZI KWAKO.
 
Mkuu wazazi wako watakuwa wa Islamu kwasababu waislamu kuoa single mother siyo tatizo.
 
Lipa Ada hudumia mwanae lazima akupende..

KAULI MBIU """KUOA SINGLE MOTHER NI KAMA KUNUNUA SHAMBA LENYE MIGOGORO"""

NB.
OA SINGLE MOTHER KAMA MUMEWE AU MWENZA WAKE AMEFARIK
 
Mkuu naona hapo unahitaji ushauri wetu na wakati huohuo unatuelekeza namna ya sisi kukushauri wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…