Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

CCM lazima itawale kwa miaka 100 ijayo,
Wewe ni mfuuuu? Usitawale miaka 100 kivipi wakati unaingia na kura zilizopigwa kwenye sandarusi? ( kaulize pale ofisi ya chama kinondoni watoto walimpigia Kira magufuli na madiwani na tarimba cku 2 kabla) Afu uje unengue na taarabu zako kama kopa hapa. Unamdanganya nani aliyeiba mitihani kama wewe
 
tunawaogopa

tumewastopisha wasifanye siasa nao wamestop kweli

mie sikuwahi kujua kuwa unaweza ukampiga biti mtu unaemuogopa nae akanywea
[/QUO]

Tatizo mnapiga risasi na kuwafungulia kesi za ugaidi na kuwaloteza kana kwamba sio raia wa Tanzania.
 
Wakati huo vyama pinzani hata havijui la kufanya.
 
CCM angalieni nyuma kuna, Umoja Party na Sukumagang wanawanyemelea
 
Wewe ni mfuuuu? Usitawale miaka 100 kivipi wakati unaingia na kura zilizopigwa kwenye sandarusi? ( kaulize pale ofisi ya chama kinondoni watoto walimpigia Kira magufuli na madiwani na tarimba cku 2 kabla) Afu uje unengue na taarabu zako kama kopa hapa. Unamdanganya nani aliyeiba mitihani kama wewe
Zote hizo ni mbinu,
 
View attachment 2207457
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani,

Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi shina hilo.
View attachment 2207446
Kunani CCM mbona Chaguzi za matawi
zimepamba moto kiasi hiki,Je huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania!?
View attachment 2207449
Sote tunafahamu chama chochote cha Siasa msingi wake mkubwa ni kujijenga kwenye grassroots,

Je? Hili linatafsiri uimara wa kiwango cha juu wa Chama cha Mapinduzi?

View attachment 2207430

View attachment 2207432
CCM MBELE KWA MBELE NYUMA MWIKO,
 
Back
Top Bottom