Duu hii sifa sijawahi sikia.watakuwa wachache sanaAah wapi. Nyie wenyewe wabinafsi kwa wenyewe. Mtu akishatusua basi hataki mwingine atusue. Hili mnajulikana
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hehere, mdomo komaaa, munadangaaaaaa nshomii, munadangaaaa kweli na kwenda kunywea bia[emoji23][emoji23] yaan si wanaume si wanawake. Halaf dada zenu ndo wanauza kabisaaa.Hiv Kuna wadangaji mjini Kama wachaga?
Tena kibaya zaidi maarufu
Hebu tuanze.
Wolper, snura,lulu,kanchi world, Lynn. Yaan list ni ndefu ndefu kweli
Tena Hadi wanaume wa kichaga wanadanga siku hiz sijui mmekuwaje nyie[emoji23]
Basi Kama ni ndogo jengen maghorofa.moshi kumejaa maghofu Hadi keroSasa hata kijiografia hujui bk kubwa kuliko moshi? Ndo maana mji unaweza panuka. Kilimanjaro ardhi yake ni ndogo
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hapana. Sinkweli. WBinafsi mnoo.. ninae prominent figures kbs za huko wenye maisha yao na taasisi kbs ila hadi watoto wao wamewatenga. Wabinafsi mno. Sisi ndo tunajulikana tunabebana mpk mnatumind[emoji23]Duu hii sifa sijawahi sikia.watakuwa wachache sana
Sisi mtu ukifanikiwa anavuta ukoo mzima Kama hujui . Ndo ubinafsi unapokuja kupendana kupitiliza.
Mbona nyie hamkua nayo miaka hiyo? Kwani yaliyoko yana shida gani? Maghorofa mapya tunajeng milimani. Mjini paache patabadilik wakati ukifika. Jua hatuuzii viasaka kama ndo lengo lenu[emoji23][emoji23]Basi Kama ni ndogo jengen maghorofa.moshi kumejaa maghofu Hadi kero
Mmekatazwa? au kazi kukimbia mkoa tu
Nakuona nakuoa na misifa mchaga_haya wew[emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]Kwenye ukoo wetu maprofesa wako zaidi ya 10. Na wengine wamedundisha hapo UDSM. Ndo maana nachekaaa[emoji23] eti 21. Daah. Kuna mpaka maprof wa macho mujimbili. Na hao ni hawa niliozoeana nao tu. Waachage masikhara. Muache urongoo
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yule kitambo anajulikana mjini hapa.Nikashangaa na mm. Khaaa... tena uhaya umemkoleaaa[emoji23][emoji23][emoji23] kinyaiya shoga? Akamtest basi
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Namaanisha makazi binafsi we manka.Imejengeka wapi mkuu[emoji23]
Kuwa kubwa zaidi ndo sababu ya kujengeka? Unaijua mipangilio ya kilimanjaro kuanzia mjini mpaka vijijini na miundo mbinu yake? Sini wewe unekiri hapa kimiundombinu mumezidiwa weee?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ni maprofesa kwa vyeti na siyo vya kuzawadiwa kama wanSiasa wako. Yes, koo za Mangi Elimu bwerere nshomileee. Nando siwez taja tatizoo. Mnanifuragishaga kwi kwenye jambo hili. Ila mimi sina wito w elimu kwa kweli. Nikasikia sauti ya kwenda masters ikija naikemea sana. Degree yenyewe imenitesaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani sipendi shuleee..Nakuona nakuoa na misifa mchaga_haya wew[emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Eti 10? Maprofesa 10 unawajua wew[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway tukuiteje koku manka au Rutabanzibwa Mushi[emoji23]
Mchaga wolper k yake si ziwa lile[emoji23][emoji23]Hehere, mdomo komaaa, munadangaaaaaa nshomii, munadangaaaa kweli na kwenda kunywea bia[emoji23][emoji23] yaan si wanaume si wanawake. Halaf dada zenu ndo wanauza kabisaaa.
Sisi tunadanga kwa faidaaa. Maisha ya wolper kwani mchezo? Aah weweee
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hayo Mambo ya mchaga wa uru,sijui kibosho, machame ndo vitu ganHapana. Sinkweli. WBinafsi mnoo.. ninae prominent figures kbs za huko wenye maisha yao na taasisi kbs ila hadi watoto wao wamewatenga. Wabinafsi mno. Sisi ndo tunajulikana tunabebana mpk mnatumind[emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mwache wamle tu. Tumezika jamaa jana bana alipata huu ugonjwa wa useng*Yule kitambo anajulikana mjini hapa.
Aah wapi, tuliona kulivyojengeka randomnly. Hakuna mpangilio. Inabidi tuchukuane likizo moja uje kwetu na ingine twende kwenu[emoji23]Namaanisha makazi binafsi we manka.
Kesho ingia hata google earth angalia vijiji vilivyozunguka mji wa bukoba na ziwa ushangae kidogo
[emoji23][emoji23] yale mabifu tu jamani. Mwacheni jaki. Jaki ana helaaaa. Jaki maparashutiii... wahaya wenu wako wapi walionufaika na uigizaji. Bora jaki anahongaaa. Ana heraaaaaaMchaga wolper k yake si ziwa lile[emoji23][emoji23]
Wanaume wake anajaza basi
Nilisia k yake inanuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu aisee
Hiv mji wa bukoba na moshi upi mkongweMbona nyie hamkua nayo miaka hiyo? Kwani yaliyoko yana shida gani? Maghorofa mapya tunajeng milimani. Mjini paache patabadilik wakati ukifika. Jua hatuuzii viasaka kama ndo lengo lenu[emoji23][emoji23]
Halafu pesa tunaenda zutafuta lwa malofa waliolala hawataki kazi
Nakuja bk kununua shambaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wahaya mko bk tu. Labda uniongezee wilaya ingine. Wengine wanyambo sijui na wanyiha. Wenyewe si wahamihaji haramHayo Mambo ya mchaga wa uru,sijui kibosho, machame ndo vitu gan
Si ndo kutengana huko..
Hadi mnaogopa kuoana.
Hampendan
Ulishawahi sikia muhaya wa wap sijui wap ?na sio kwamba wahaya wote ni sawa lakini mkikutana vijiji vinahama mnakuwa majirani[emoji23][emoji23]
Kwani moshi imejengwa lini na akina nani pia? Ama waijua history ya kwenu tu? Karibu kwetu kuna mpaka wajerumani warombo[emoji23]Hiv mji wa bukoba na moshi upi mkongwe
Bukoba ilijengwa mwaka 1890 na wajerumani kuzuia waingereza wasiisogelee Tanganyika.
But anyway miji yote bukoba na Moshi Ina future
Nani professor muhaya kazawadiwa wewNi maprofesa kwa vyeti na siyo vya kuzawadiwa kama wanSiasa wako. Yes, koo za Mangi Elimu bwerere nshomileee. Nando siwez taja tatizoo. Mnanifuragishaga kwi kwenye jambo hili. Ila mimi sina wito w elimu kwa kweli. Nikasikia sauti ya kwenda masters ikija naikemea sana. Degree yenyewe imenitesaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani sipendi shuleee..
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] niambie hiyo shule nije nizichinjee.Nani professor muhaya kazawadiwa wew
Watu wanasoma wew. Muhaya na elimu ni damu damu.
Kwenye shule Bora top five hakosagi muhaya akikosa basi shule inafelisha.
Anyway muhaya Mimi kuku zangu wanasoma pia[emoji23][emoji23]
Lakin money ndo kila kitu Kama huna hela kusoma ni kupoteza muda
Mimi nawasaport wahaya hasa wa kiume kuendelea kuzichakata Tena kwa katerero sio kujibanabana na kujikuta unachakatwa[emoji23]Mwache wamle tu. Tumezika jamaa jana bana alipata huu ugonjwa wa useng*
Hilo la nyuma lilishuka. Tulijua familia yake wameenda mpeleka hospital kumbe siyo. Pombe za hovyo wenzake wanamgeuza akishazima. Kwenda kwao msibani jamani[emoji24][emoji24] hata milango hakuna nyumba. Nimeumia mno jaman. Ndo nashindwa elewa mkoa wa pwani unafuu wake kimaisha uko wapi.. dah. Uchoko mbaya sana
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app