Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mlete mdhungu, mlete mdhungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe hakua bavicha 1993 acha ubwege wewe,alikua hata humo chadema hayupo zaidi ya kuwa pale Billz na bussiness za babayake.Nimeanza kuifuatilia Chadema tangu 1993 Mbowe akiwa Bavicha
Chadema haikuasisiwa na Mtei peke yake ukumbuke hilo
Alikuambia?Mimi wala sitaki kuongezea. Lissu lengo lake ni kumg'oa Mbowe.
Kapata mzungu ,Lissu ni noma.Najua tu unataka kuongelea hii picha inayosambaa mitandaoni kama moto.
View attachment 2495331
Hizo ni personal issues mkuu na kila familia ina mambo yake. Labda wana marital issues. Au mke yuko safarini...Huwezi jua ya kwenye familia za watu.
Taratibu sheikhUnataka uchukue nafasi ya mke?
mZiLaNkeNdE ana yake kijana tena mazito kuliko ya Lissu.Hata kama wewe ndio ungekua mkewe, kwa picha ile ya mahaba aliopiga Airport akiwa na yule mama wa kibelgiji, nina hakika usingeenda kumpokea. Usaliti unaanza katika ngazi ya chini ya familia, mtu kama huyu ukimpa mamlaka hachelewi kutuuza
Huo mshangazi ndio mkewe wa pili.Mtu yupi Tena mkuu?huyo anayekiss naye ndo mkewe!!
Kuwa na wanawake wawili Kuna ubaya gani?
Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja.
Mwanaume mwenye nguvu humiliki wanawake wawili na zaidi.
[emoji1] mambo yanabadilika kwa kasi sana maana hata Talaka sasa Kenya sio 50/50 tena bali kila mmoja ataondoka na alichowekezaHuo mshangazi ndio mkewe wa pili.
Kumbe wakristu siku hizi tunafunga ndoa za mitaala?
HahahaUnataka uchukue nafasi ya mke?
Ushoga , mke ni dume, na Mme ni dume ,sijui yeye yuko wapi.Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe.
Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
Umbea unakuwashaNajiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe.
Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
Mama Samia mara ngapi umemwona na mmewe? Dr Mpango lini umemwona na mkewe? Kassim Majaliwa je? Na wewe mara ngapi unaongozana na mmeo?Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe.
Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?