Kunani Lissu na mkewe? Mbona hakumsindikiza airport Ubelgiji, wala hajaja kumpokea airport DSM?

Kunani Lissu na mkewe? Mbona hakumsindikiza airport Ubelgiji, wala hajaja kumpokea airport DSM?

Nimeanza kuifuatilia Chadema tangu 1993 Mbowe akiwa Bavicha

Chadema haikuasisiwa na Mtei peke yake ukumbuke hilo
Mbowe hakua bavicha 1993 acha ubwege wewe,alikua hata humo chadema hayupo zaidi ya kuwa pale Billz na bussiness za babayake.
Mtei karudi kijijini ndio kuelewana na mkwewe abari ya Siasa na kumuachia chama.
 
Watoto watalelewa na nani kama wote watakuwa kwenye shughuli za kisiasa?
 
Hata kama wewe ndio ungekua mkewe, kwa picha ile ya mahaba aliopiga Airport akiwa na yule mama wa kibelgiji, nina hakika usingeenda kumpokea. Usaliti unaanza katika ngazi ya chini ya familia, mtu kama huyu ukimpa mamlaka hachelewi kutuuza
mZiLaNkeNdE ana yake kijana tena mazito kuliko ya Lissu.

Usitake tuyataje

Je nae si msaliti ngazi ya familia!?

Remnats wa mzilankende mnatabu sana nyie.

Kama Lissu kama kashindwana na mkewe ni mambo yake muachie mwenyewe.

Unamuita Lissu msaliti kisa kaachana na mkewe halafu wewe unaenda nunua Malaya kimboka[emoji1787]
 
Mtu yupi Tena mkuu?huyo anayekiss naye ndo mkewe!!
Kuwa na wanawake wawili Kuna ubaya gani?

Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja.
Mwanaume mwenye nguvu humiliki wanawake wawili na zaidi.
Huo mshangazi ndio mkewe wa pili.

Kumbe wakristu siku hizi tunafunga ndoa za mitaala?
 
Huo mshangazi ndio mkewe wa pili.

Kumbe wakristu siku hizi tunafunga ndoa za mitaala?
[emoji1] mambo yanabadilika kwa kasi sana maana hata Talaka sasa Kenya sio 50/50 tena bali kila mmoja ataondoka na alichowekeza

Tutaelewana tu
 
Kwa nn unamuattack mtu personal? unamjua lissu kama lissu sio mkewe uko kwingine acha umbea.
 
Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe.

Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
Ushoga , mke ni dume, na Mme ni dume ,sijui yeye yuko wapi.
Huoni alivyo...mtetezi wa mashogs afrika.
 
Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe.

Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
Mama Samia mara ngapi umemwona na mmewe? Dr Mpango lini umemwona na mkewe? Kassim Majaliwa je? Na wewe mara ngapi unaongozana na mmeo?
 
Back
Top Bottom