Game changer .. Master mind the best playerRais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.
View attachment 2350179
Ikalie vizuri sasa, imeanza kukukaa sawa.Wakuu
Nawaza kwa sauti!
"Mstaafu aliekwisha kustaafu lakini hataki kustaafu kustaafishwa"
"Kitabu kilichoandikwa Kisha kikaachwa kitamaliziwa kwa staili HII"
Màana
Haoni kimbele juu alivokuwa amepanga hasa urais wa vijana wake!
Vuguvugu la Burundi limemchanganya coz ndio upepo utaanzia magharibi kuja kwetu!
Ujio wa FDR unakuja kwa Kasi na FDR Sio chaguo lake inamuuma coz maslahi yake yanaweza kusiginwa!
Pk kamshinda ujanja katika ujasusi wa kumpachika mtu wao somewhere au kamshinda kijasusi hivyo anataharuki Moyoni!
Au
Hapo kenya mambo hayajawa alivyotaka!
Tusubiri
"Rasimu ya warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Hivi Kuna Watu wanaangalia TBC??
Kwahio kaamua aje akasirikie hapa dakika hio na wakati huo? Au ni kwamba siku hizi 24/7 ni mwendo wa Kukasirika tu.....Tetesi: huko juu, Uzanzibari unaleta shida!
Tupo mkuu, unasemaje.Hivi Kuna Watu wanaangalia TBC??
Wacha hizi maneno nyepesi! Tanzania haingilii siasa za ndani ya nchi. #🙏🙏🙏anawaza jinsi vile uhuru kenyatta na ruto walivyomchezea akili....za chini ya kapeti zinadai deep state ya tz ilikuwa inamtaka odinga.
Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.
View attachment 2350179
🤣🤣🤣🤣🤣TETESI: Inasemekana huko Zanzibar maji yamelowana
Para no. 2 ndiyo jibu la swali la mtoa Mada. Unataka Amini usipotaka acha.Wakuu
Nawaza kwa sauti!
"Mstaafu aliekwisha kustaafu lakini hataki kustaafu kustaafishwa"
"Kitabu kilichoandikwa Kisha kikaachwa kitamaliziwa kwa staili HII"
Màana
Haoni kimbele juu alivokuwa amepanga hasa urais wa vijana wake!
Vuguvugu la Burundi limemchanganya coz ndio upepo utaanzia magharibi kuja kwetu!
Ujio wa FDR unakuja kwa Kasi na FDR Sio chaguo lake inamuuma coz maslahi yake yanaweza kusiginwa!
Pk kamshinda ujanja katika ujasusi wa kumpachika mtu wao somewhere au kamshinda kijasusi hivyo anataharuki Moyoni!
Au
Hapo kenya mambo hayajawa alivyotaka!
Tusubiri
"Rasimu ya warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Gear angani imebadirishwa na mtu mwingine kabisa na siyo yeye. Kuleeee,Game changer .. Master mind the best player
Dark days...!Gear angani imebadirishwa na mtu mwingine kabisa na siyo yeye. Kuleeee,
Poleni sanaTupo mkuu, unasemaje.
Hapo sawa KakaWahenga na wasiojitambua.
ebana eehWakuu