Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

Kwa vile sio waalikwa kenya kwenye uapisho wa Ruto.
 
hahahh kachanganyikiwa na tozo mama anaupiga mwingi
 
Sura ya kizee tu!wazee wengi wanapenda kuvuta midomo,nimemuona kwenye hiyo hafla anachekacheka tu pembeni y a Tulia Mwansasu
 
Ni UZEE TU HUO
 
Ngoja tuisubili kamati kuu imalize kikao.... tutazijua mbivu na mbichi.
 
Povu lote hili ni kisa tu naitazama TBC? Mkuu hatuwezi kukichukia chombo chetu cha habari za kiserikali.

Siwezi kuchukia ww kulishwa taarifa za kupikwa maana huo ni uhuru wako.
 
Labda remote haikuwekwa beterii
 
Nimeshangaa sana kuona bado unaangalia TBC we uko duniani kweli mkuu au upo kuzimu unakula bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…