Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Wivu, Kisebu sebu, chuki, roho mbaya, Majungu, fitina, husda na kisirani ndivyo ambavyo vimekujaa baada ya kufukuzwa sehemu uliyokuwa unajitolea kufundisha...
Usitake tutajane majina hapa!
 
Hawa jamaa wanashambuliwa SANA.. Kuna walimu wengine wamesomesha ndugu zao madaktari, wanasheria nk. Leo wanageuka machoko
 
Leo naungana na wewe. Hilo kundi limejaa watu wenye roho mbaya sana, sana... sijui Kwa sababu wengi wanatokea familia masikini.

Case study ni mwendazake kiongozi wa malaika, naye alitokea kundi Hilo.
Umefumuliwa marinda halafu unakuja kuandika pumba hapa.
 
hawa wana akili sana na ndio waliokufikisha hapo ulipo wewe huwezi fundishwa na mtu mwenye low IQ na wewe ukatoka salama ukawa na high IQ
hawa watu ni wa kuheshimu sana maraisi wengi duniani wamepitia kundi hili akiwemo Nyerere,Mwingi,Moi,Magufuli,Mwai Kibaki,Kaunda,Obama,Angel Mekel na viongozi wengine Majaliwa n.k
Nchini ujerumani walimu ndio wanaolipwa mshahara mkubwa kuliko taaluma zozote.Hivi unajua kuna nchi ili uwe mwalimu wa chekechea lazima uwe na shahada ya chuo kikuu?.Nina wasiwasi wewe ni mmoja wa wale watu darasani walikuwa watupu sana ukapata ka gepu sasa unazarau walimu ukizarau walimu hata elimu utakuwa unaizarau.Vile mungu sio mchoyo kwa kweli hata wasiosoma mungu anawapa riziki yao sasa wewe utakuwa umepata kaupenyo ukapata vijisenti ndio vinakutekenya lakini ukweli unabaki pale pale kama huna elimu hata kama ni tajiri kiasi flani unakuwa mtu wa kutokujiamini kama mtu flani mhe namuhifadhi maana nampenda sana ni mchapakazi sana na anajua kuweka hoja mezani
Mfumo wa nchi yetu tu ndio unaowadunisha kundi hili sio low IQ Unavyo wadhania ila mafundisho yao yanawafanya wawe wanyenyekevu.
Ila hata mimi nina wasiwasi uliyeandika uzi huu utakuwa na IQ ndogo mno
 
Inaonesha wewe ndio una IQ ndogo, yaani mtu aliyekulea na kukufundisha wewe mpaka leo umeweza kuja kuandika upupu wako humu unamuona ana IQ ndogo! Kwanini wazazi wako wenye IQ kubwa wasikufundishe nyumbani wakaamua kwenda kukubidhi kwa waalimu tena ukiwa bado mdogo na makamasi.

Leo umepata kazi ambayo pengine unapata upenyo wa kudokoa dokoa unawadharau waalimu ambao wao hiyo fursa hawana. Kamwe usimdharau mtu alikutoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine bora zaidi.
 
Halafu umesahau kuwatag hao moderators sasa. Watajuaje kuwa unawahitaji?

Nyuzi za kushambulia walimu zimezidi kwa kweli. Na zote ni kwa ajili ya kuwadhalilisha tu.

Taifa hili yaani...

Badala tuwaboreshee maslahi yao na kuimarisha mfumo wetu wa elimu wenye matatizo lukuki eti sisi tunashambulia walimu ambao kimsingi ndiyo injini ya kila kitu.

Mungu na Atusaidie [emoji1545]
 
Wewe mjinga tuache Mwalimu siku zote hawezi mzidi mwanafunzi maisha lakini mwanafunzi alipata maarifa kutoka kwangu
 
Nawewe unajiita "GREAT THINKER"
 
Nimereport content nadhani wameipata japo bado huu Uzi uko hapa.
Tuna taifa la ajabu sana. Mwalimu ni mtu wa kuheshimu sana inashangaza anadhalilisha kwenye platform kama hii Kila saa nyuzi mpya zinapanda na zinaachwa.
Jamii gani iliyonedelea bila elimu Bora kutoka kwa walimu?
Kama walimu wangelipwa vizuri hakuna mtu angepandisha nyuzi za kijinga kama hizi lakin sababu ya maslahi madogo ndio wanadhalilishwa bila kujua madhara yake ni kushusha morali ya kazi na kuadhiri mipando ya nchi.
 
Na ajabu sasa anayeanzisha hizi nyuzi ni mtu mmoja na ukichunguza baadhi ya post zake yeye mwenyewe amesomea ualimu. Sijui kilitokea nini mpaka akawa na chuki hivi.

Hakuna taifa imara bila walimu.

Tuwaboreshee maslahi yao...

Wawe na mazingira bora....

Tuimarishe elimu yetu....

Badala yake tunawatukana. Watu wanaotufundishia watoto wetu tena katika mazingira magumu sana.

Inasikitisha!
 
Walimu wanadhalilishwa hata na mapoyoyo, vitoto, n.k.
Hakuna anayeonyesha moyo wa dhati kuwakwamua na hali duni.
Nite: Kwa uzoefu wangu, mtu hukaribia kufanana na anayemhudumia mara Kwa mara
 
Acha dharau wewe Tuliza shobo dundo mbona una pigo za kiwaki


Wewe unachowashwa Ni Nini ili ukunwe
 
Hatuwaachi mpaka mbadilike
Am not a teacher but my wife is...mbona mi nawaona wakao smart tu tena na wajanja sana na they do have a life ambayo wengine wanaiotaicha ya kwamba si watumishi vitengo vingine...sema hii kazi imejaa manyanyaso sana..

Kama nisingekua mamtia moyo mke wangu angekua ameshaacha zaman sana.

Kuna kipindi aliletewa barua toka baraza kwenda kusahisha mitihani..aliporudi na vihela vyake akanambia shulen kuna utaratibubwa kwend kumuona mkuu umpe japo ahsante ili next time uende tena..nikamwambia usimpe chochote tumia hela zako kama unavyotaka...kumbe kwel bwana next season alipotumiwa barua kwenda kusimamia mitihani head master wake akaikalia hakumpa!.. alikuja kujua baada ya kupokea taarifa toka halmashaur kuwa kuna barua ilikwenda shule...aisee..mambo ni meeengi ila huwa namwambia kwan unakosa nini.?we fanya kazi acha hivyo vi favour vyao wakubanie tu waone kama kuna kitu kitakwama kwako... nas ndio mpaka leo anaendelea ila haipendi sana
 
Mm nilisomea ualimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…