Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

Napigia msumari.
Walimu wanahitaji maombi.
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumpiga mteja wake?
Mwalimu ndiye mfanyabiashara pekee anayemdunda mteja wake
😀 😀 😀 😀ila hii nchi aisee
 
Hamna akili, kila mtu anawasema nyie. Badilikeni
 
Pole Sana.Naona jinsi gani ulivokuwa na chuki dhidi ya walimu Hadi ulichokiandika hakieleweki.Tulia,Acha walimu wafanye Yao na wewe mwenye IQ kubwa ufanye yako.
Wamemkosesha kazi ya ukarani wa sensa. Maisha ni magumu sana. Tuvumilianeni tu maana hakuna namna!

Badala ya kuelekeza chuki kwenye kiini cha tatizo yeye anashambulia walimu. Majitu huko juu yanapiga trillions hayafanywi kitu lakini masikini huku wanachukiana kisa shilingi elfu ishirini kwa siku...

Mahela yanayopigwa na mafisadi huko yangetumika vyema yangeweza kuinua hali ya maisha ya watu wetu na kuondoa hizi chuki za kimasikini!

Inahuzunisha sana!
 
Mwalimu wako aliekufundisha hadi hapo ulipofikia najua tu huwezi kusema mbele yake ndiyo maana umetaja kiuwoga woga, pili hukusema kwanini ni janga umetaja taja tu kada bila kutoa sababu ni zipi ili ionekane ni janga.
Wewe huoni kama ni janga?
 
Inabidi ifanyike hivyo haraka sana. Na pia waliopo kazini nao wafanyiwe interview
 
Ww hata hiyo IQ ndogo tu huna. 0 kabisa
 
Mazezeta wapo kwenye ualimu
 
Mi sina shida na walimu ila wamejisahau sana ikifika meimosi huwa wanaamini ile ni siku special kwaajili yao tu na siyo watu wengine, na kwenye mbio za mwenge wanashona sare za vitenge
 
Unahisi kwa nini hao uliowataja waliacha ualimu?
 
Una mimba changa itakuwa inakusumbua wewe. Siyo bure. Hapo ulipo utakuwa unajisikia tu kichefu chefu na malimao yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…