Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Watu wote waliokuwa wanamuunga mkono Mbowe ni watu wa fursa tu sio wapigania chama,

Hata hivyo wamejificha kwa muda mrefu sana Upinzani wakidai kuwa wao ni wapinzani kumbe ni CCM,

Kiongozi wao ni Mbowe na yeye aende huko CCM kwani amekuwa anajifanya mpinzani kumbe anayake tu.
 
Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Sasa uongozi hauna hata mwezi na umeshapoteza mwelekeo🤣🤣
Manina😂😂

Mlikitumia chama kwa faida zenu Leo lazima mnyooke tu,

Sisi tunarudisha,

Dkt Slaa,
Prof Safari,
Mch, Msigwa
Dkt Marcus
Saed Kubenea
Renatus Pamba,
 
Back
Top Bottom