Na bado 2015 Chadema walijifanya wajanja wakabeba wana CCM KIBAO AKINA MAMA AMBAO KAZI YAO ILIKUWA KUIBA SIRI ZA UCHAGUZI ZA CCM na kuwapelekea CHADEMA .Baada ya uchaguzi wakawazawadia ubunge viti maalumuAcha ujinga jibu hoja,
Kama isingekuwa wana CDM hao mhimu waliohama na Siri za chama kwenda nazo CCM, CCM ingeshinda Ushindi huo na CDM ingeangukia pua namna hiyo?
Ccm kwa nini mnawashwa washwa na mambo ya chademaKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Wakati mwingine tuwe serious angalau kidogo katika comments zetu mbele ya kadamnasìKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?
Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.
Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.
CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
[/QUOT
Yanga na simba hazijawahi tetereka kuondokewa na wachezaji
Nyie CCM ya chadema wapi na wapi? Mnaandika ushahidi kuwa mna jiingiza kusambaratisha chadema na chadema ngangari hasa, mmeshindwa. sisi tunawarekodi tu hayo maovu manyoyafanya. There is the time to cry, is approaching for you. enough is enoughKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
UnaliwaMnachekesha sana, mmebakiza nguzo moja ya ubatili, nayo ni Job kufanya ubatili aloufanya kwa akina Peter na wenzake.
Zaid ya hapo hamna jingine.
Ifike mahala mjitambue, mjue hakuna chama ndan ya nchi ya vyama vingi kinachoweza kushinda viti vyote vya ubunge kihalali, hakuna na haikaji kutokea.
Sasa hao wamefukuzwa, nenden mkabadilishe kanun za namna ya kuwapata wenyeviti na wajumbe wa Kamati za kudumu za bunge.
Nenden mkaunde kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Nenden mkaunde baraza la mawaziri vivuli
Nendeni mkasafishe kwa mabwana zenu wanaowahonga pesa za miradi, utawala bora na demokrasia ambao mnawaita mabeberu[emoji23]
Mnashangaza si tu duniani, hadi mbinguni[emoji1787]
hizo siri wazitoe tu watajua wenyewe na tamaa zao, mwamba wa kaskazini mh. mbowe ndo kashaamua hivo, hakuna namna imeisha hiyooooo.Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Waambie wakachanganye na zile alizosema Paschal ziko kwa Mhe LwakatareKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Kweli kabisa, na ndio maana Lissu alipotutaka tuandamane tulijaza mitaa na mabarabara yote ya YouTube, Facebook, Twitter na huku JF hata nafasi ya kusogeza mguu ilikosekana!Upinzani wa nchi hii upo ndani ya mioyo yetu hata aje malaika kuongea Siri za chama bado watanzania wataendelea kusimamia Imani yao
WameshajulikanaSasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?
Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.
Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.
CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Hao wanachama wa kawaida wako wapi wewe? uliona mtu akiandamana pale yalipoitishwa maandamano? jana pia mlihamasisha watu wajae waandamane pale ufipa, ulihesabu ni watu wangapi walikuepo pale? hivi kwa haya mnayodai kufanyiwa ingekuwa ile CHADEMA ya Dr Slaa nchini pangekuwa shwari kiasi hiki? endeleeni kujifariji na multiple accounts zenu kwenye mitandao ya kijamii mkijitekenya na kucheka wenyewe afu mkiamini eti CHADEMA kina watu.Wakitoa hizo siri itakuwa ni jambo jema kwa Magufuli na CCM yake, wewe endelea kumuomba Mungu hao wakina watoe hizo siri.
Pole sana,Sasa wewe unafikiri Viongozi wa kisiasa wanapatikana kwa njia Safi tu Kama wanavyopatikana Viongozi wa dini?
Tatizo vijana wengi hamuijui siasa na ndo Maana kila siku mnakuja huku Jf kulialia.
Mwenye mbinu za akili ndo huwa anawinn kwenye mapambano ya siasa ziwe mbinu chafu au Safi.
Wahenga walisema; "siasa ni Mchezo mchafu"
Hapa ndipo nakeleka na wana CCM wenzangu kuwa watetezi wa haki za wapinzani ktk vyama vyao...Sikuamini kuwa ingefikia siku mataga wakawa watetezi wa upinzani.
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app