Kila mtu ana uhuru wa kuchangia hoja anayoiona na mimi nimevutiwa hapo maana nilijua kuna namna ya kufanya ili kundi libebe watu wengi zaidiNaona wengi kwenye huu uzi badala ya kujadili content za mleta mada, wanaishia kujadili idadi ya members wa group la whatsap, haya ndio mawazo halisi ya mtz wa leo.
Hongereni mtapiga kura kwa whatapp na telegram ,wakati ccm tunafanya kweli nyinyi fanyeni ya mitandaoni.kidumu chama cha mapinduzi ....Nipo kwenye group la graduates mwaka fulani wa nyuma, ambao tulinufaika na Loan board kipindi cha Kikwete, na ajira ya Kwanza(first appointment) tukiwa na Kikwete. Tunakumbushana mengi tu hasa Neema za kipindi hicho cha nyuma.
Wadau wengi wa kundini walitia Nia kupitia chama tawala(sikuona chama pinzani aliyepost kundini ingawa walikuwepo, nawafahamu) picha za kijani zilijaa kwenye devices zetu, hadi watu wakafikia hatua kushauri tuwachangie fedha za kuchukulia fomu, ingawa hoja hiyo ilipotea hewani na wengine waliishia kuleft. Wakati huo watu wenye itikadi tofauti na chama cha kijani walionekana kuwa wachache sana.
Hivi sasa napata picha kuwa kumbe wale walioleft hawakuwa na 'Political tolerance' tuliobaki active kwenye agenda za kisiasa nadhani ni mimi na wenzangu Kama wanne hivi Kati ya wanagroup zaidi ya 300.
Aisee watu ni waoga ati! Llile group limebadili gia angani tangu kutangazwa kwa TL kuwa Mgombea Urais CHADEMA. Wanakijani wanahesabika Kama wakivyohesabika wa rangi nyingine hapo awali. Picha ya Tz yetu kwa sasa nimeipata kupitia grupu langu la wasap. Grupu lina wasomi na maafisa wengi tu walioendelea na masomo hadi PhD. Tulikuwa tunaogopana lakini tangu 3/8/2020 woga umeisha.
Utawala huu umeniadhibu mambo kadhaa makubwa ambayo sitokuja kusahau maishani. Nadhani tupo wengi nyuma ya haya na mengine.
1.Baba angu kastaafu tangu October 2017, yapata miaka miwili na nusu hajapata mafao yake hadi leo. Amehangaika, akapatwa na stroke ingawa alikuwa na historia ya BP ila nadhani hili limechangia. Ameparalaizi kwasasa.
2. Mimi na mdogo wangu tulipata ajira ya ualimu wa sekondari 2009 na 2011. Serikali ikatupeleka kufundisha shule za msingi mwaka 2018. Si vibaya kufundisha msingi lakini iliniuma kuona wenye degree tunapelekwa msingi na wenye diploma wanabaki secondary Schools. Bila kujali seniority kazini(umri kazini) yaani miaka yangu 9 kazini unanipeleka kwenye kazi ambayo sikuisomea na Wala kuifikiria alafu unamwacha dogo wa diploma mwenye miaka 5 kazini. No!! Huu siyo utumishi wa umma.
3. Uhakiki wa vyeti feki ulinifurahisha Sana, niligundua walimu wengi wana vyeti zaidi ya kimoja, yaani waliunga unga elimu(wali resit) na wengine walisomea majina tofauti ili warudie darasa. Cha kushangaza hao hao waliachwa wafundishe sekondari sisi wenye division one(na umahiri katika masomo) tukapelekwa shule za msingi, kisa tunamchalenji hedimasta. Kuna shule ambazo wanafunzi waliandamana kupinga uhamisho onevu wa competent teachers mwaka 2018, waliopelekwa msingi.
Niliacha kazi ya serikali nikaenda private school, na baadae kwenye biashara za mazao hadi leo hii. Naiona Tanzania yenye HAKI na Usawa mbeleni kama Uongozi utageuka upande wa pili, Binafsi natamani hivyo na dalili naoina.
Time will tell!!
Ningeweza ningekuwekea ushahidi wa mzee aliyestaafu 2017 na mpaka jana alikuwa hajapata mafao yake.Acha uongo hakuna mstaafu asiyelipwa mafao yake zaidi ya miezi sita baada ya kustaafu. Tatizo lenu mnaleta uongo wa kitoto sana.
Achana na mimi kwani umelazimishwa kusoma nilichoandika? Nilikuwa na maana yangu kuuliza hilo swali na comments zilizofuatia nilikuwa najibu kulingana na nilivyoqutiwa
Ubarikiwe kwa maono hayaNipo kwenye group la graduates mwaka fulani wa nyuma, ambao tulinufaika na Loan board kipindi cha Kikwete, na ajira ya Kwanza(first appointment) tukiwa na Kikwete. Tunakumbushana mengi tu hasa Neema za kipindi hicho cha nyuma.
Wadau wengi wa kundini walitia Nia kupitia chama tawala(sikuona chama pinzani aliyepost kundini ingawa walikuwepo, nawafahamu) picha za kijani zilijaa kwenye devices zetu, hadi watu wakafikia hatua kushauri tuwachangie fedha za kuchukulia fomu, ingawa hoja hiyo ilipotea hewani na wengine waliishia kuleft. Wakati huo watu wenye itikadi tofauti na chama cha kijani walionekana kuwa wachache sana.
Hivi sasa napata picha kuwa kumbe wale walioleft hawakuwa na 'Political tolerance' tuliobaki active kwenye agenda za kisiasa nadhani ni mimi na wenzangu Kama wanne hivi Kati ya wanagroup zaidi ya 300.
Aisee watu ni waoga ati! Llile group limebadili gia angani tangu kutangazwa kwa TL kuwa Mgombea Urais CHADEMA. Wanakijani wanahesabika Kama wakivyohesabika wa rangi nyingine hapo awali. Picha ya Tz yetu kwa sasa nimeipata kupitia grupu langu la wasap. Grupu lina wasomi na maafisa wengi tu walioendelea na masomo hadi PhD. Tulikuwa tunaogopana lakini tangu 3/8/2020 woga umeisha.
Utawala huu umeniadhibu mambo kadhaa makubwa ambayo sitokuja kusahau maishani. Nadhani tupo wengi nyuma ya haya na mengine.
1.Baba angu kastaafu tangu October 2017, yapata miaka miwili na nusu hajapata mafao yake hadi leo. Amehangaika, akapatwa na stroke ingawa alikuwa na historia ya BP ila nadhani hili limechangia. Ameparalaizi kwasasa.
2. Mimi na mdogo wangu tulipata ajira ya ualimu wa sekondari 2009 na 2011. Serikali ikatupeleka kufundisha shule za msingi mwaka 2018. Si vibaya kufundisha msingi lakini iliniuma kuona wenye degree tunapelekwa msingi na wenye diploma wanabaki secondary Schools. Bila kujali seniority kazini(umri kazini) yaani miaka yangu 9 kazini unanipeleka kwenye kazi ambayo sikuisomea na Wala kuifikiria alafu unamwacha dogo wa diploma mwenye miaka 5 kazini. No!! Huu siyo utumishi wa umma.
3. Uhakiki wa vyeti feki ulinifurahisha Sana, niligundua walimu wengi wana vyeti zaidi ya kimoja, yaani waliunga unga elimu(wali resit) na wengine walisomea majina tofauti ili warudie darasa. Cha kushangaza hao hao waliachwa wafundishe sekondari sisi wenye division one(na umahiri katika masomo) tukapelekwa shule za msingi, kisa tunamchalenji hedimasta. Kuna shule ambazo wanafunzi waliandamana kupinga uhamisho onevu wa competent teachers mwaka 2018, waliopelekwa msingi.
Niliacha kazi ya serikali nikaenda private school, na baadae kwenye biashara za mazao hadi leo hii. Naiona Tanzania yenye HAKI na Usawa mbeleni kama Uongozi utageuka upande wa pili, Binafsi natamani hivyo na dalili naoina.
Time will tell!!
Watu wengi sana wamedhulumiwa haki zao chini ya serikali ya Magufuli. Licha ya hao wastaafu kutolipwa mafao yao, kuna wananchi wengi ambao hawajalipwa haki zao baada ya kushinda kesi mahakamani dhidi ya vitendo vya dhuluma vya Halmashauri!! Mahakama hutoa hukumu kuwa wananchi walipwe fidia lakini halmashauri nyingi hazitekelezi amri za mahakama!! Dhuluma hizi zitamuweka pabaya Magu kwenye uchaguzi huu mkuu!!Uongo kawadanyanye watoto wako wewe bibi
Wanaiba kuraMmefanyaje hadi kundi likawa na memba zaidi ya 300?
Tatizo la nchi hii wanaojitambua ni wachache sana!wajinga ni wengi mno na ndio mtaji wa chama chakavu!! Ukimuona mtu anayejitambua anakishabikia jua kuna lake jambo, anafaidika nacho kwa njia moja, au anajibembeleza aonwe kwa jicho la hurumu!!! Lakini kwa maisha haya tunayoishi watu wanaojitambua wangekuwa wengi mbona mapema tu...Binafsi sioni sababu ya kuichagua ccm hata kama Chadema wangemsimamisha Nyalandu ama Dk.
Serikali ya ccm choka mbayaJazaneni upepoo... mkimaliza kakojoeni mlale. Kweli mtu na akili zake unakuja kutuambia eti group lako la WhatsApp linakupa taswira ya jinsi Tanzania nzima inavyomkubali Lissu? Hivi zinakutosha kweli?
Umeacha kazi ya Serikali umeenda kufanya biashara na mpaka leo unasurvive meaning mazingira ya biashara yaliyowekwa na Serikali ni mazuri inabidi ushukuru kwa hilo. Nilitegemea useme upo kijiweni huna kazi. Unalalamika umepata Div.1 halafu ukapelekwa kufundisha shule ya msingi, nani alikuambia watu failure ndo wanatakiwa kufundisha shule ya msingi? Yaani wewe ni hopeless bora ulivyoacha kufundisha, maana ungeharibu watoto wetu.
Telegram unachukua memba 2000 unashangaa 300Mm mwenyewe nimeshangaa member 300
Mkuu conservative 3,tuseme ukweli hasa kwenye elimu,kutoka sekondari kwenda msingi sio sawa,Ila kwa kuwa wanataka ajira hakuna namna,Km maslahi yangu yako vema km napata stahili zangu km kawaida kwa nn niogope kuamishwa kituo cha kazi.
Mm naita kutoka sekondari kwenda msingi ni kuhama kito cha kazi ndani ya wizara ya elimu.
Pia nakumbuka zamani hata darasa la pili na la kwanza kulikuwa na walimu wana uzoefu mkubwa miaka 15 mpaka 30 kazini na mwalimu mkuu au mwalimu wa darasa la tano akiwa na miaka kati ya 3 na 7 kwenye utumishi.
Lisu kuchukua tiketi ya urais ni haki yake na ni wajibu kwa wanompenda kmpigia kura.
Watu tunasahau kuwa msingi kuna uhitaji wa umabiri katika ufaulu kuliko hata sekondari(yaani mtu anaweka kwenye nyumba paa la nondo wakati msingi wa mabua)
Wewe na mdogo wako mlikua shule moja au bahati nzuri tu imetokea kuwa mkapelekwa kufundisha msingi au woote ndo mnamchalenji hedimasta akaamua hivyo?
Grupu la wasapu lina watu mia tatu...hongera jinsi ulivyo makini...km mlikuwa mnaogopa mnadhani sasa kwa kuwa grupu la wasapu limebadilika ndio mnaaminiana?
Mpe pole mzee wetu .inawezekana ni
Hayo yamesababisha au wengi wanasahau pia mambo ya kifamilia huwaumiza wazee wetu bila wanafamilia kujua kwa kuwa siku zote wanabeba mengi ndani ya mwili na roho zao wakiwa na nia nzuri.
Karibu kwenye kujiajiri hakika umetumia elimu yako vema na hayo ndo maamuzi sahihi kwa msomi nakuombea uajiri na wengine.
Pia nimekumbuka pia mwajiri anakuwa na malengo yake na mwajiriwa pia anamalengo yake mwajiri anapokupeleka sehemu nyingine kuna mawili eidha ukajifunze au ukawafundishe wengine.
Usisahau kuwa tofauti ndogo ndogo ndio huleta tofauti kubwa mfano kati ya wasapu na telegramu.
Jina la t.me group plsTupo wasap na telegram ambako hakuna limit ya idadi ya members.
Kazi kweli kweli yaani hamjaona na hamtaki kujadili hoja za msingi kama wastaafu kutopata stahiki zao kwa wakati,utumbuaji wenye mwelekeo wa uonevu ,kesi nyingi za kusingizia uhujumu uchumi,utakatishaji pesa nk mnajadili vioja vya idadi ya members..??!!Mimi mwenyewe nimeshangaa member 300
Mkuu conservative 3,tuseme ukweli hasa kwenye elimu,kutoka sekondari kwenda msingi sio sawa,Ila kwa kuwa wanataka ajira hakuna namna,
Aliesomea kumfundisha msingi ni tofauti na aliesomea kumfundisha sekondari,Ila wanasiasa wanayarahisisha tu,na ndo maana Hilo zoezi haliwezi endelea,kwa kuwa wanajua wamekosea,na Kuna siku watarudishwa tu.
Ilibidi wadau wailalamikie hii,lakini Cha ajaabu ndo kwanza walikua wanafurahia.
Wanawake wenye akili nzuri kama hizo huwanaua wapi siku zote mnawaachia wale Dada zangu wawili tu siku zote? Asante kwa Uzi mzuri sana, nitalala vyemaNipo kwenye group la graduates mwaka fulani wa nyuma, ambao tulinufaika na Loan board kipindi cha Kikwete, na ajira ya Kwanza(first appointment) tukiwa na Kikwete. Tunakumbushana mengi tu hasa Neema za kipindi hicho cha nyuma.
Wadau wengi wa kundini walitia Nia kupitia chama tawala(sikuona chama pinzani aliyepost kundini ingawa walikuwepo, nawafahamu) picha za kijani zilijaa kwenye devices zetu, hadi watu wakafikia hatua kushauri tuwachangie fedha za kuchukulia fomu, ingawa hoja hiyo ilipotea hewani na wengine waliishia kuleft. Wakati huo watu wenye itikadi tofauti na chama cha kijani walionekana kuwa wachache sana.
Hivi sasa napata picha kuwa kumbe wale walioleft hawakuwa na 'Political tolerance' tuliobaki active kwenye agenda za kisiasa nadhani ni mimi na wenzangu Kama wanne hivi Kati ya wanagroup zaidi ya 300.
Aisee watu ni waoga ati! Lile group limebadili gia angani tangu kutangazwa kwa TL kuwa Mgombea Urais CHADEMA. Wanakijani wanahesabika Kama wakivyohesabika wa rangi nyingine hapo awali. Picha ya Tz yetu kwa sasa nimeipata kupitia grupu langu la wasap. Grupu lina wasomi na maafisa wengi tu walioendelea na masomo hadi PhD. Tulikuwa tunaogopana lakini tangu 3/8/2020 woga umeisha.
Utawala huu umeniadhibu mambo kadhaa makubwa ambayo sitokuja kusahau maishani. Nadhani tupo wengi nyuma ya haya na mengine.
1.Baba yangu kastaafu tangu October 2017, yapata miaka miwili na nusu hajapata mafao yake hadi leo. Amehangaika, akapatwa na stroke ingawa alikuwa na historia ya BP ila nadhani hili limechangia. Ameparalaizi kwa sasa.
2. Mimi na mdogo wangu tulipata ajira ya ualimu wa sekondari 2009 na 2011. Serikali ikatupeleka kufundisha shule za msingi mwaka 2018. Si vibaya kufundisha msingi lakini iliniuma kuona wenye degree tunapelekwa msingi na wenye diploma wanabaki secondary Schools. Bila kujali seniority kazini(umri kazini) yaani miaka yangu 9 kazini unanipeleka kwenye kazi ambayo sikuisomea na Wala kuifikiria halafu unamwacha dogo wa diploma mwenye miaka 5 kazini. No!! Huu siyo utumishi wa umma.
3. Uhakiki wa vyeti feki ulinifurahisha Sana, niligundua walimu wengi wana vyeti zaidi ya kimoja, yaani waliunga unga elimu(wali resit) na wengine walisomea majina tofauti ili warudie darasa. Cha kushangaza hao hao waliachwa wafundishe sekondari sisi wenye division one(na umahiri katika masomo) tukapelekwa shule za msingi, kisa tunamchalenji hedimasta. Kuna shule ambazo wanafunzi waliandamana kupinga uhamisho onevu wa competent teachers mwaka 2018, waliopelekwa msingi.
Niliacha kazi ya serikali nikaenda private school, na baadae kwenye biashara za mazao hadi leo hii. Naiona Tanzania yenye HAKI na Usawa mbeleni kama Uongozi utageuka upande wa pili, Binafsi natamani hivyo na dalili naoina.
Time will tell!!
AmeeenNipo kwenye group la graduates mwaka fulani wa nyuma, ambao tulinufaika na Loan board kipindi cha Kikwete, na ajira ya Kwanza(first appointment) tukiwa na Kikwete. Tunakumbushana mengi tu hasa Neema za kipindi hicho cha nyuma.