Kungekuwa na sumu ya kujidunga kisha unakufa usingizini wengi tungeshatoweka duniani

Acha hizo mkuu fikiria watoto wa kipalsteni gaza yaani baba yako ana ghorofa refu kisha linaangushwa na wanakufa wazazi yaani wewe ukipona inabidi uanze upta kujenga ila still wana tumaini mbele yao..wewe je ambaye hata ukiamua unajichanganya chaka unampiga hata ndovu unachukua pembe unasikilizia upate soko...hahaha nakutania mkuu usijaribu poaching watakuua
 
Pole sana mkuu, kama wewe ni mwanaume, pambana na uache kutamani kuwa mfu.

Tafuta pesa kwa nguvu zako zote, familia ya kitajiri itoke kwako. Kama hao waliozaliwa kwenye familia za kitajiri baba zao wangekata tamaa na wangewaza kujiua kama wewe huo utajiri ungekuwepo?

Pambana, na acha kuwaangalia wengine. Acha kujilinganisha na watu wengine. Tupo katika Dunia moja lakini tunafanya mitihani tofauti kabisa.

Shida sio kutafuta pesa.BALI HIZO NJIA ZA KUTAFUTA PESA[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
yaani tunapeana tu moyo tafuta pesa.
Ila kiukweli njia z kutafuta pesa ni ngumu.huna kazi,Huna mtaji ,Huna kibarua,Huna connection. Hizo hela unatafuta vipi?
 
Hali ya maisha ni ngumu sana

Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi

Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani

Unakuta familia inakutegemea lakini wewe unaetegemewa ukiangalia mbele unaona kiza tu mana kila siku afadhali ya jana

Wale mliojaliwa vipato vya kumudu maisha yenu mshukuruni sana mwenyezi Mungu

Kuna wakati unawaza kwanini hata ulizaliwa kutokana na mateso unayopitia ya maisha

Wakati mwingine unajiuliza kwanini na mimi sikuzaliwa familia ya kitajiri lakini unapata jibu kwamba yote ni mipango ya Mungu.

Anyway acha niishie hapa.
Hata hapa ulipo unapaswa kumshukuru sana Mungu ni kwavile tu hujui
Huumwi
Hauko jela
Una sehemu ya kulala
Una uwezo wa kumiliki simu janja
Una bundle
Umekula
Na juu ya yote una nafasi ya kuwaza haya
Kuna baadhi
Leo hajui atalala wapi
Atakula nini
Hana simu hata kitochi
Ana madeni kama yote nknk.. Lakini bado ana tumaini
389cd0d3-4f70-4c8a-b37c-13158e78cb4a.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushuhuda kuna marafiki zangu kadhaa walishafanya attempts za kujiua kwa nyakati tofauti ,wote ni ishu za maisha magumu kuna jamaa alipigwa na maisha mpaka demu wake akaenda kuolewa na jamaa mwingine alifanya kunusurika watu walivunja mlango huko uswazi la sivyo angejimaliza...

Wapo watu wapo makazini na wana stress kutokana na utegemezi mkubwa .
Hali ni mbaya sana, afya ya akili ya vijana iko mashakani. Vijana wengi walikuwa na ndoto kubwa na wakitazama wanajiona wamechelewa.
Ukichanganya ugumu wa maisha na misukosuko ya mapenzi kaburi utalichungulia.

Ushauri wangu kwa vijana hasa hawa wa kiume, wakati wa kutafuta maisha wajitahidi kujiweka mbali na wanawake/mapenzi. Wanawake hawa wa sasa hawawezi kuvumilia shida na wanaiona miili yao kama mojawapo ya njia ya malipo.

Sasa mwanamke wako akiisha kuacha akaenda kwa mwanaume mwingine mwenye pesa na wewe huna pesa, lazima utamani kujiua.
 
Ongeza font size weka 60 ili isomeke vizuri ata mtu akiwa mbali aone hili bango kwa ukaribu
 
Kuna kisa kimoja kinawahusu wanaume 40 wenye matatizo mazito ambao walienda kuombewa na kiongozi wa dini. Kiongozi wa dini akafanya dua/maombi akatokea malaika. Basi huyo malaika akawaambia wale watu kila mmoja aandike matatizo yake yote Yale anayo amini ndio matatizo makubwa kuliko yote. Ayaandike kwenye karatasi kisha aifunge ile karatasi halafu juu yake aandike namba ya siri. Baada ya hilo zoezi kufanyika malaika akawaambia haya sasa kila mmoja aweke karatasi yake kwenye ndoo . Wote wakaweka karatasi zao kwenye ndoo. Baada ya dakika ishirini akawaambia haya sasa chukueni hayo makaratasi yenu lakini hakikisha unachukua karatasi ambalo sio lako yani ambalo hujaliandikia password.

Zoezi likafanyika. Baada ya zoezi kufanyika yule malaika akawaambia kila mmoja asome kwa makini kilicho andikwa kwenye karatasi aliyo iokota ( maana yake ni kwamba asome matatizo ya mtu mwingine) Zoezi likafanyika.

Baada ya zoezi kufanyika yule malaika akawaambia sasa ninawapa dakika tano mfanye maamuzi kila mmoja wenu. Kwamba ubadilishane matatizo na huyo mtu ambae unasoma matatizo yake kwenye karatasi yake uliyo iokota kwamba matatizo yake yawe yako na yako yawe yake. Unaambiwa ukumbi mzima zilitokea ngumi kila mmoja anataka arejeshewe karatasi yake ili abaki na matatizo yake kuliko kubeba matatizo ya mwingine. Kila mmoja alijiona kumbe ana afadhali kubwa sana kwenye maisha.

Amini kwamba matatizo uliyo nayo ni afadhali kuliko matatizo ya mtu mwingine.

Matatizo mengi huwaga yapo kwenye mindset n.a. sio kwenye uhalisia. So don't bother to fix the problem but just fix the way you think and the problem will fix itself.

Wewe ni mkristo kuwa kama ilivyo shauriwa kwenye bible kwamba you should be a prisoner of hope..

Binafsi nimefikia kwenye realization kwamba things are not happening to us but they are happening for us

Ushauri wa ziada; watu wenye hekima na busara wanasema hakuna njia nzuri ya kukabiliana na matatizo kama to reduce ur problems in to songs. Whenever you face a problem just reduce it into a song and ur mind will release out the problem.

Wazulu walitumia technic hii during apartheid and it worked for them.

You can try it out.

May the peace of the Lord be upon you
 
Hali ya maisha ni ngumu sana

Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi

Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani

Unakuta familia inakutegemea lakini wewe unaetegemewa ukiangalia mbele unaona kiza tu mana kila siku afadhali ya jana

Wale mliojaliwa vipato vya kumudu maisha yenu mshukuruni sana mwenyezi Mungu

Kuna wakati unawaza kwanini hata ulizaliwa kutokana na mateso unayopitia ya maisha

Wakati mwingine unajiuliza kwanini na mimi sikuzaliwa familia ya kitajiri lakini unapata jibu kwamba yote ni mipango ya Mungu.

Anyway acha niishie hapa.
Usikate tamaa na usiwaze kujiua hiyo ni option mbaya saana. Mkuu jipe tumaini na zidisha imani kwa kile unacho fikiria kama njia ya kukuvusha kutoka hali ngumu mpaka hali ya kushukuru Mungu.
 
Sad truth.
Vijana wengi sana tunakumbwa na changamoto ya afya ya akili na chanzo kikuu kikiwa ni ugumu wa maisha.
Hakuna unafuu kila kona unayojaribu kuchomokea unakutana na kibano.
Kila kukicha watu wanajitoa uhai kwa ugumu wanaoupitia.
Wanaona ni bora watoweke kwenye uso wa dunia hii isiyo na haki na iliyojaa kila aina ya mabalaa.
Serikali inabidi ilitazame hili jambo kwa jicho la kipekee la si hivyo tutashuhudia vijana wenzetu wengi wakikatisha uhai wao.

Ambao tuna roho ngumu tuendelee kupambana mpaka pale tutakapotwaliwa kwa amri ya Mungu.
 
Kuna kisa kimoja kinawahusu wanaume 40 wenye matatizo mazito ambao walienda kuombewa na kiongozi wa dini. Kiongozi wa dini akafanya dua/maombi akatokea malaika. Basi huyo malaika akawaambia wale watu kila mmoja aandike matatizo yake yote Yale anayo amini ndio matatizo makubwa kuliko yote. Ayaandike kwenye karatasi kisha aifunge ile karatasi halafu juu yake aandike namba ya siri. Baada ya hilo zoezi kufanyika malaika akawaambia haya sasa kila mmoja aweke karatasi yake kwenye ndoo . Wote wakaweka karatasi zao kwenye ndoo. Baada ya dakika ishirini akawaambia haya sasa chukueni hayo makaratasi yenu lakini hakikisha unachukua karatasi ambalo sio lako yani ambalo hujaliandikia password.

Zoezi likafanyika. Baada ya zoezi kufanyika yule malaika akawaambia kila mmoja asome kwa makini kilicho andikwa kwenye karatasi aliyo iokota ( maana yake ni kwamba asome matatizo ya mtu mwingine) Zoezi likafanyika.

Baada ya zoezi kufanyika yule malaika akawaambia sasa ninawapa dakika tano mfanye maamuzi kila mmoja wenu. Kwamba ubadilishane matatizo na huyo mtu ambae unasoma matatizo yake kwenye karatasi yake uliyo iokota kwamba matatizo yake yawe yako na yako yawe yake. Unaambiwa ukumbi mzima zilitokea ngumi kila mmoja anataka arejeshewe karatasi yake ili abaki na matatizo yake kuliko kubeba matatizo ya mwingine. Kila mmoja alijiona kumbe ana afadhali kubwa sana kwenye maisha.

Amini kwamba matatizo uliyo nayo ni afadhali kuliko matatizo ya mtu mwingine.

Matatizo mengi huwaga yapo kwenye mindset n.a. sio kwenye uhalisia. So don't bother to fix the problem but just fix the way you think and the problem with fix itself.

Wewe ni mkristo kuwa kama ilivyo shauriwa kwenye bible kwamba you should be a prisoner of hope..

Binafsi nimefikia kwenye realization kwamba things are not happening to us but they are happening for us

Ushauri wa ziada; watu wenye hekima na busara wanasema hakuna njia nzuri ya kukabiliana na matatizo kama to reduce ur problems in to songs. Whenever you face a problem just reduce it into a song and ur mind will release out the problem.

Wazulu walitumia technic hii during apartheid and it worked for them.

You can try it out.

May the peace of the Lord be upon you
Acha story za uongo mkuu.
 
Ndio maana juzi tulikaa kijiweni tunaongelea kuhusu mvua ya elnino, washikaji wakasema ije tu hata sasa hivi itugonge isombe mali zote ipeleke baharini wote tufilisike tuanze upya.
Nikawa nasema hata tufilisike tubaki bila kitu, baada ya miezi mitatu tu unga utakuwa umejitenga na maji. Masikini na umasikini wake na tajiri na utajiri wake.
 
Back
Top Bottom