Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Shida sio kutafuta pesa.BALI HIZO NJIA ZA KUTAFUTA PESA[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Pole sana mkuu, kama wewe ni mwanaume, pambana na uache kutamani kuwa mfu.
Tafuta pesa kwa nguvu zako zote, familia ya kitajiri itoke kwako. Kama hao waliozaliwa kwenye familia za kitajiri baba zao wangekata tamaa na wangewaza kujiua kama wewe huo utajiri ungekuwepo?
Pambana, na acha kuwaangalia wengine. Acha kujilinganisha na watu wengine. Tupo katika Dunia moja lakini tunafanya mitihani tofauti kabisa.
Hakumaanisha hivo...Pen v 10 tu unalala mazima.
Sijui vinaandikwaje ila ni vile vidonge vidogo vya mafua
Kumi tu unalala mazima husikii maumivu
Hata hapa ulipo unapaswa kumshukuru sana Mungu ni kwavile tu hujuiHali ya maisha ni ngumu sana
Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi
Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani
Unakuta familia inakutegemea lakini wewe unaetegemewa ukiangalia mbele unaona kiza tu mana kila siku afadhali ya jana
Wale mliojaliwa vipato vya kumudu maisha yenu mshukuruni sana mwenyezi Mungu
Kuna wakati unawaza kwanini hata ulizaliwa kutokana na mateso unayopitia ya maisha
Wakati mwingine unajiuliza kwanini na mimi sikuzaliwa familia ya kitajiri lakini unapata jibu kwamba yote ni mipango ya Mungu.
Anyway acha niishie hapa.
Watu wengine ni wajinga sana.Hakumaanisha hivo...
Ushuhuda kuna marafiki zangu kadhaa walishafanya attempts za kujiua kwa nyakati tofauti ,wote ni ishu za maisha magumu kuna jamaa alipigwa na maisha mpaka demu wake akaenda kuolewa na jamaa mwingine alifanya kunusurika watu walivunja mlango huko uswazi la sivyo angejimaliza...
Wapo watu wapo makazini na wana stress kutokana na utegemezi mkubwa .
Basiii tui mkuu wanashindwa soma nyakatiWatu wengine ni wajinga sana.
Hebu futa hii post haimsaidii.
Ongeza font size weka 60 ili isomeke vizuri ata mtu akiwa mbali aone hili bango kwa ukaribuHali ni mbaya sana, afya ya akili ya vijana iko mashakani. Vijana wengi walikuwa na ndoto kubwa na wakitazama wanajiona wamechelewa.
Ukichanganya ugumu wa maisha na misukosuko ya mapenzi kaburi utalichungulia.
Ushauri wangu kwa vijana hasa hawa wa kiume, wakati wa kutafuta maisha wajitahidi kujiweka mbali na wanawake/mapenzi. Wanawake hawa wa sasa hawawezi kuvumilia shida na wanaiona miili yao kama mojawapo ya njia ya malipo.
Sasa mwanamke wako akiisha kuacha akaenda kwa mwanaume mwingine mwenye pesa na wewe huna pesa, lazima utamani kujiua.
Usikate tamaa na usiwaze kujiua hiyo ni option mbaya saana. Mkuu jipe tumaini na zidisha imani kwa kile unacho fikiria kama njia ya kukuvusha kutoka hali ngumu mpaka hali ya kushukuru Mungu.Hali ya maisha ni ngumu sana
Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi
Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani
Unakuta familia inakutegemea lakini wewe unaetegemewa ukiangalia mbele unaona kiza tu mana kila siku afadhali ya jana
Wale mliojaliwa vipato vya kumudu maisha yenu mshukuruni sana mwenyezi Mungu
Kuna wakati unawaza kwanini hata ulizaliwa kutokana na mateso unayopitia ya maisha
Wakati mwingine unajiuliza kwanini na mimi sikuzaliwa familia ya kitajiri lakini unapata jibu kwamba yote ni mipango ya Mungu.
Anyway acha niishie hapa.
Acha story za uongo mkuu.Kuna kisa kimoja kinawahusu wanaume 40 wenye matatizo mazito ambao walienda kuombewa na kiongozi wa dini. Kiongozi wa dini akafanya dua/maombi akatokea malaika. Basi huyo malaika akawaambia wale watu kila mmoja aandike matatizo yake yote Yale anayo amini ndio matatizo makubwa kuliko yote. Ayaandike kwenye karatasi kisha aifunge ile karatasi halafu juu yake aandike namba ya siri. Baada ya hilo zoezi kufanyika malaika akawaambia haya sasa kila mmoja aweke karatasi yake kwenye ndoo . Wote wakaweka karatasi zao kwenye ndoo. Baada ya dakika ishirini akawaambia haya sasa chukueni hayo makaratasi yenu lakini hakikisha unachukua karatasi ambalo sio lako yani ambalo hujaliandikia password.
Zoezi likafanyika. Baada ya zoezi kufanyika yule malaika akawaambia kila mmoja asome kwa makini kilicho andikwa kwenye karatasi aliyo iokota ( maana yake ni kwamba asome matatizo ya mtu mwingine) Zoezi likafanyika.
Baada ya zoezi kufanyika yule malaika akawaambia sasa ninawapa dakika tano mfanye maamuzi kila mmoja wenu. Kwamba ubadilishane matatizo na huyo mtu ambae unasoma matatizo yake kwenye karatasi yake uliyo iokota kwamba matatizo yake yawe yako na yako yawe yake. Unaambiwa ukumbi mzima zilitokea ngumi kila mmoja anataka arejeshewe karatasi yake ili abaki na matatizo yake kuliko kubeba matatizo ya mwingine. Kila mmoja alijiona kumbe ana afadhali kubwa sana kwenye maisha.
Amini kwamba matatizo uliyo nayo ni afadhali kuliko matatizo ya mtu mwingine.
Matatizo mengi huwaga yapo kwenye mindset n.a. sio kwenye uhalisia. So don't bother to fix the problem but just fix the way you think and the problem with fix itself.
Wewe ni mkristo kuwa kama ilivyo shauriwa kwenye bible kwamba you should be a prisoner of hope..
Binafsi nimefikia kwenye realization kwamba things are not happening to us but they are happening for us
Ushauri wa ziada; watu wenye hekima na busara wanasema hakuna njia nzuri ya kukabiliana na matatizo kama to reduce ur problems in to songs. Whenever you face a problem just reduce it into a song and ur mind will release out the problem.
Wazulu walitumia technic hii during apartheid and it worked for them.
You can try it out.
May the peace of the Lord be upon you