Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Unajua Laughing Gas ?
Nadhani tatizo sio jinsi ya kuondoka...., hio ni rahisi tatizo ni kukimbia tatizo kwa kufumba macho ukidhani linaondoka....
Umeongelea familia.., ukifa nani unamuachia hio mizigo yako (huo utakuwa ni ubinafsi) ukishakuwa na familia ambayo inakutegemea maisha sio yako ni yenu (subiri wakishafikisha over eighteen na kuwapa msingi hapo nadhani hata uamuzi huu wa ajabu ukichukuliwa utakuwa hauna effect kubwa)