Kungekuwa na sumu ya kujidunga kisha unakufa usingizini wengi tungeshatoweka duniani

Hali ya maisha ni ngumu sana

Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi

Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani

Unakuta familia inakutegemea lakini wewe unaetegemewa ukiangalia mbele unaona kiza tu mana kila siku afadhali ya jana

Wale mliojaliwa vipato vya kumudu maisha yenu mshukuruni sana mwenyezi Mungu

Kuna wakati unawaza kwanini hata ulizaliwa kutokana na mateso unayopitia ya maisha

Wakati mwingine unajiuliza kwanini na mimi sikuzaliwa familia ya kitajiri lakini unapata jibu kwamba yote ni mipango ya Mungu.

Anyway acha niishie hapa.
Kuwa Muislam, uwe na mawasiliano ya moja kwa moja na Muumba wako.
 
Tukushauri njia ya kujua au tukushauri namna ya kujikwamua?
Weka wazi msimamo wako.
 
Hahahaha,sielewi
Uislamu ni kujisalimisha kwa Muumba wetu mmoja tu. Waislamu ni wa Mungu mmoja na wanaabudu Mungu mmoja, mwenye kujua yote, ambaye kwa Kiarabu anajulikana kama Allah. Wafuasi wa Uislamu wanalenga kuishi maisha ya utii kamili kwa Mwenyezi Mungu. Wanaamini kwamba hakuna kitu kinachoweza kutokea bila idhini ya Mwenyezi Mungu.
 
20220407_103445.jpg
 
Hali ya maisha ni ngumu sana

Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi

Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani

Unakuta familia inakutegemea lakini wewe unaetegemewa ukiangalia mbele unaona kiza tu mana kila siku afadhali ya jana

Wale mliojaliwa vipato vya kumudu maisha yenu mshukuruni sana mwenyezi Mungu

Kuna wakati unawaza kwanini hata ulizaliwa kutokana na mateso unayopitia ya maisha

Wakati mwingine unajiuliza kwanini na mimi sikuzaliwa familia ya kitajiri lakini unapata jibu kwamba yote ni mipango ya Mungu.

Anyway acha niishie hapa.
Ipo tena haina maumivu ni ya maji unaweka chini ya ulimi off you go.
 
Mkuu we furahio ulichopata mpk unaandika hapa,
Wenzio kwa Mungu tumefika.
Kule nae anadai kadi ya mwaliko usifikiri unajiendea tu km chooni.
Atakurudisha hapa hapa duniani.
Ndo utaambiwa umenusurika kwenye ajali.
Hapana huhitajiki kule.
Muda wako bado,we na kimbelembele chako unajipeleka.
Siku yako ikifika unaweza kunywa maji tu yakakukaba tukakuzika.
Haijafika.
Utapanda ndege ikadondoka juu huko mkaangukia porini nowhere na ukapona ukaokolewa mzima.
 
Mkuu pole hio situation unayopitia hata mm imewahi nikumba ila sikuwaza kabisa kujitoa uhai.

Ajira za kujuana na michongo vile vile.

Ila namshukuru MUNGU Mwaka jana nilipata ajira ya kudumu kupitia UTUMISHI DODOMA so nakushauri nako weka nia kama una uwezo utatoboa .

Ila kwa kipindi hiki kigumu kama upo dar jaribu kupeleka CV yako ASA microfinance kinondoni makaburini, Gardaworld security mikocheni, SGA SECURITY, IRon side security, Jisajilii TAESA INTERSHIP mkuu
Upo sahihi mkuu, kuna jamaa alinifata juz kati anasema anatafuta conn za ajira za ualimu zijazo, nilimwambia conn zipo ila kwa ajira za ualimu, watu weng wanapata by chance
 
Ndio maana juzi tulikaa kijiweni tunaongelea kuhusu mvua ya elnino, washikaji wakasema ije tu hata sasa hivi itugonge isombe mali zote ipeleke baharini wote tufilisike tuanze upya.
Nikawa nasema hata tufilisike tubaki bila kitu, baada ya miezi mitatu tu unga utakuwa umejitenga na maji. Masikini na umasikini wake na tajiri na utajiri wake.
Suluhu la kudumu la umaskini ni communal ownership
 
Hali ya maisha ni ngumu sana

Kuna wakati unatamani hata kungekua na simu ambayo unajidunga wakati unaingia kulala kisha inakuondoa baada ya masaa matatu baada ya kupitiwa na usingizi

Tatizo tunawaza wanaotutegemea tutawaacha kwenye hali gani

Unakuta familia inakutegemea lakini wewe unaetegemewa ukiangalia mbele unaona kiza tu mana kila siku afadhali ya jana

Wale mliojaliwa vipato vya kumudu maisha yenu mshukuruni sana mwenyezi Mungu

Kuna wakati unawaza kwanini hata ulizaliwa kutokana na mateso unayopitia ya maisha

Wakati mwingine unajiuliza kwanini na mimi sikuzaliwa familia ya kitajiri lakini unapata jibu kwamba yote ni mipango ya Mungu.

Anyway acha niishie hapa.
Mkuu ishi
Anza kuwa na sifa mbaya lakini ishi
 
Wewe ni sensei? Kuna shule huku Kigamboni inatafuta mwalimu wa kuwafundisha watoto karate
 
Back
Top Bottom