FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #61
Yaani ni ushamba wa hali ya juuniliwahi kufanya huu ujinga kibaya zaidi Kwa funguo za kuokota.
nikifikiria najiona bonge la mjinga na mshamba wkeli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ni ushamba wa hali ya juuniliwahi kufanya huu ujinga kibaya zaidi Kwa funguo za kuokota.
nikifikiria najiona bonge la mjinga na mshamba wkeli kweli.
Watu watajuaje kama na wewe una ndinga...?Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Kuna wale madaktari wananinginiza makoti yao kwenye siti za gari [emoji1]Na wale wanao ning'iniza hivi pale juu ya gari tuwa weke kundi moja na hawa View attachment 2579336
Atakuwa shoga ndio maana anona aibuAibu unaona wewe kwani wewe ni mke wa huyo jamaa anayening'iza funguo.
Una aibu hata kwa mambo yasiyo kuhusu?
Bora mkuu umeongea ww unakuta vijana kavaa kibuta na kaning'iniza funguo kavaa sendo na soksi huo ni ushamba sanaYaani kuna ushamba mtu anafanya mwingine ila aibu unaona mtazamaji, so shameful, showoff za kishamba hadi naona aibu mimi
wewe sista una shida mahala sio bureYaani kuna ushamba mtu anafanya mwingine ila aibu unaona mtazamaji, so shameful, showoff za kishamba hadi naona aibu mimi
Acha wivu mkuuSuruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Kama watu ni washamba lazima waambiweUsiwapangie watu maisha mkuu...let them do whatever they like ilimradi tu hawajavunja Sheria za nchi.
Atakuwa wa upinde hiyoBora mkuu umeongea ww unakuta vijana kavaa kibuta na kaning'iniza funguo kavaa sendo na soksi huo ni ushamba sana
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app