Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Nnooo nikubali haraka.Dah! Hii imeniumiza sana bora nikunyime kabisa basi
Nnooo nikubali haraka.Dah! Hii imeniumiza sana bora nikunyime kabisa basi
Wewe ndio unabeba mbegu sawa tu na mimbaNiwe mwangalifu kwani mimba ninabeba mimi?
Mara ya mwisho ulitutambia kuwa umemuoa Marry DianaNnooo nikubali haraka.
Ah achana nae huyo yaliyopita si ndwele hata yatuache na makovu.Mara ya mwisho ulitutambia kuwa umemuoa Marry Diana
Pole sana mkuu😂😂Ah achana nae huyo yaliyopita si ndwele hata yatuache na makovu.
Wao wanawaza mbususu tu, ila hivi viumbe 😂😂😂🙌Kwanini wanawake wanawazungusha wanaume kwenye mitongozo,
Ni kuwa hao wanaume wanataka sex kwa muda huo huo watakao kubaliwa.
Kuna mkaka alinitumia nimtongozee shost angu, kweli akakubali na walivopeana mawasiliano, siku ile ile jamaa akagusia kuhusu mzagamuo, shoo alivo hamaki, jamaa anasemaje sasa km ushakubali tuwe wapenzi, kwann hutaki sex? Kwan mahusiano yetu ni ya nn? Urafiki au mapenzi?
Shostie kaja kwangu, ananionesha text za yule jamaa hadi nilichoka, nikamuambia wee temana nae huyu kibungo, na akamtema, jamaa anakuja kwangu nikamchana pia wee nenda kimboka huko ukajipatie hitaji lako, usisumbue watu hapa. Lol.
Ila wanaumee, khaaah. 😂😂😂😂😂
Sasa si ujibu tu vizuri useme 'it's too early'.Kwanini wanawake wanawazungusha wanaume kwenye mitongozo,
Ni kuwa hao wanaume wanataka sex kwa muda huo huo watakao kubaliwa.
Kuna mkaka alinitumia nimtongozee shost angu, kweli akakubali na walivopeana mawasiliano, siku ile ile jamaa akagusia kuhusu mzagamuo, shoo alivo hamaki, jamaa anasemaje sasa km ushakubali tuwe wapenzi, kwann hutaki sex? Kwan mahusiano yetu ni ya nn? Urafiki au mapenzi?
Shostie kaja kwangu, ananionesha text za yule jamaa hadi nilichoka, nikamuambia wee temana nae huyu kibungo, na akamtema, jamaa anakuja kwangu nikamchana pia wee nenda kimboka huko ukajipatie hitaji lako, usisumbue watu hapa. Lol.
Ila wanaumee, khaaah. 😂😂😂😂😂
Hatariii sana, 😂😂😂😂Wao wanawaza mbususu tu, ila hivi viumbe 😂😂😂🙌
Kwani wanaelewa sasa? Woiiiiih 😂😂😂😂Sasa si ujibu tu vizuri useme 'it's too early'.
Safi sana hata mimi wajukuu zangu huwa nawaambia kuchelewa kumpa mwanaume jibu sio kwamba hatakuoa wewe ni malaya, mimi nikitongoza manzi huwa napenda anipe jibu hapo hapo ili nifanye mambo mengine ya kujenga nchi nikubalie au nikatalie au usipokubali kwa mdomo nikubalie kwa matendo nitaelewa tupo pamoja lakini ukianza utoto wa sijui nipe muda huwa nafuta na namba haoo hapo then natongoza wengine.KUNIZUNGUSHA SANA SIO KAMA NDIO NITAKUONA WEWE SIO MALAYA AU SIO RAHISI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya mambo ambayo yananifanya nimshushe mwanamke nyota zake hasa za kiutambuzi na kumwona ni wale wanawake wa standard za kawaida ni kuwa na mtazamo usemao kuwa kumzungusha mwanaume au kutokumkubalia haraka mwanaume ni kulinda brand na ataniona ninamaadili au ni mwanamke asiye Malaya
Watibeli tuna- prefer mwanamke ambaye atakubali siku hiyohiyo hata kama ni malaya kuliko asiye Malaya ambaye atakubali baada ya mwezi mmoja... Kwa sababu ya kijinga kubwa akikubali siku moja ati nitamwona Malaya.
Ni mwanaume mjinga atatumia kigezo cha siku za kukubaliwa kama kipimo cha tabia ya mwanaume. Kwamba kuzungushwa sana kunaashiria msimamo wa Mwanamke.
Mwanamke mwenye msimamo hana huo muda wa kukuzungusha. Kama hakutaki ni hakutaki. Kukuzungusha ndio umalaya wenyewe.
Kama anakupenda ukimtongoza atakubali siku hiyohiyo.
Mwanamke au mwanaume anayeangalia wengine watamwonaje huyo hafai kwenye mahusiano yenye afya. Anaigiza, ataigiza na kutaka kukupa kile watu wanachotaka huku tabia zake akizificha.
Mwanamke mwenye akili timamu majibu yake ni;
1. Kama hakujui ndio mmekutana paaap! Akakuelewa, ukamtongoza atakubali mpeane mawasiliano na ukitaka jibu atakuambia ukweli kuwa anakuelewa vizuri sana na wewe ni type yake ingawaje bado hakuamini.
Kama hajakuelewa, atakuchana mapema kuwa sikutaki na sikupendi. Na mwanaume mwenye akili ataelewa na kufanya mambo mengine.
2. Kama mnafahamiana kwa muda mrefu labda ni workmates, au classmates au mnaishi mtaa mmoja, au mnasali pamoja. Ukimtongoza, atakujibu siku hiyohiyo kubwa nakutaka, nakupenda na pia nilikuwa na kuhitaji. Simple.
Kama hakutaki atasema.
Kisha mtapanga utaratibu wa mahusiano yenu yaendeje. Na hiyo ni siku hiyohiyo.
Lakini ukishaona kona kona, sijui na kufikiria, sijui subiri nitakujibu, sijui bla blah.
Sijui nikuchunguze. Huo ni utapeli.
Huo ndio umalaya wenyewe sasa.
Ni sawa na Mwanamke upo kwenye mahusiano ya uchumba na mwanaume unamwambie vipi kuhusu kuishi pamoja iwe kwa ndoa au taratibu zingine aanze kupiga piga chenga. Unapiga chenga nini.
Hiyo ni red alert. Ni ishara kubwa ya kupigwa na kitu kizito.
Taikon ninakufuata labda Kalpana
Nakutongoza, najua una standard zako, unatype zako, nakutongoza,
Kama hutaki sema hutaki, sema unamtu wako. Sema mimi sio chaguo lako.
Sio ulete mambo ya kitoto.
Yaani unataka alafu unajifanya hautaki. Kwamba?
Iko hivi, mwanamke uliyemfuata leo akakukubalia siku hiyohiyo nina kuhakikishia una asilimia 90 ya kudumu naye na kuwa na furaha kwa miaka mingi tofauti na yule atakayekuzungusha miezi kadhaa.
Mwanamke anayekukubalia siku hiyohiyo ni mwaminifu zaidi kuliko atakayekuzungusha alafu baadaye ndio akubali. Hapo hakuna kitu hapo.
Kumbuka, kukubaliwa kimahusiano haimaanishi kumvua chupi siku hiyohiyo.
Kuvuana chupi ni jambo jingine.
Mwanaume anapokuja kukutongoza kama ni type yako na unampenda mkubalie.
Kisha mengine ndio yafuate.
Kama anakutongoza alafu siku hiyohiyo anataka akuvue chupi basi huyo atakuwa sio tuu amekudharau bali amekuona wewe ni kahaba.
Lakini ni kakuomba uwe mchumbaake/mpenzi wake na unampenda, unamkatalia kwa kigezo kipi alafu baadaye unamkubalia kwa kigezo kipi kama sio unafiki. Au utoto? Kutojiamini?
Wewe kama ni Malaya ni Malaya tuu. Hata umzungushe mtu miaka buku. Kumzungusha mtu hakukufanyi usiwe Malaya.
Umalaya unaanzia kwenye mtazamo wako kama mwanamke. Unavyojichukulia na vile unavyotaka watu wakuchukulie.
Kisha ndio matendo yako.
Acha nipumzike
Robert Heriel
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
😢Pole sana mkuu😂😂
Nimegundua Marry ndiye aliyekufilisi utajiri wako, pole sana mkuu🥲😂😂
Sipendi umtaje huyo mtu tunapoongea, kama hunitaki malizana na mimi mwenyewe bila kumtaja mtu.Nimegundua Marry ndiye aliyekufilisi utajiri wako, pole sana mkuu🥲😂😂
Safi sana hata mimi wajukuu zangu huwa nawaambia kuchelewa kumpa mwanaume jibu sio kwamba hatakuoa wewe ni malaya, mimi nikitongoza manzi huwa napenda anipe jibu hapo hapo ili nifanye mambo mengine ya kujenga nchi nikubalie au nikatalie au usipokubali kwa mdomo nikubalie kwa matendo nitaelewa tupo pamoja lakini ukianza utoto wa sijui nipe muda huwa nafuta na namba haoo hapo then natongoza wengine.
Mwanamke akianza mambo ya nakufikiria au nipe muda huyo anataka akufanye spare tyre au akuweke kwenye friend zone akiendelea kukupiga mizinga na kunufaika na wewe bila kutinduliwa.
Nyie mnawaza nini mkuu ?Wao wanawaza mbususu tu, ila hivi viumbe 😂😂😂🙌
Sawa nisamehe, yameisha mkuu🥲Sipendi umtaje huyo mtu tunapoongea, kama hunitaki malizana na mimi mwenyewe bila kumtaja mtu.