Kunizungusha sana sio kama ndio nitakuona wewe sio Malaya au sio rahisi

Kunizungusha sana sio kama ndio nitakuona wewe sio Malaya au sio rahisi

umepatia sana yanatuchelewesha BAO Moja tu tayari mnuko ,wakati wale wa sikuhiyohiyo na kupanga pakukutana wasafisana lakini Hawa wa miezi 8 mwaka ......da acha tu
 
Kwanini wanawake wanawazungusha wanaume kwenye mitongozo,

Ni kuwa hao wanaume wanataka sex kwa muda huo huo watakao kubaliwa.

Kuna mkaka alinitumia nimtongozee shost angu, kweli akakubali na walivopeana mawasiliano, siku ile ile jamaa akagusia kuhusu mzagamuo, shoo alivo hamaki, jamaa anasemaje sasa km ushakubali tuwe wapenzi, kwann hutaki sex? Kwan mahusiano yetu ni ya nn? Urafiki au mapenzi?

Shostie kaja kwangu, ananionesha text za yule jamaa hadi nilichoka, nikamuambia wee temana nae huyu kibungo, na akamtema, jamaa anakuja kwangu nikamchana pia wee nenda kimboka huko ukajipatie hitaji lako, usisumbue watu hapa. Lol.

Ila wanaumee, khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauri wako mkuu. kwahio huyo jamaa angekaa muda gani ndo aanze kuomba shoo?
 
Back
Top Bottom