Kunizungusha sana sio kama ndio nitakuona wewe sio Malaya au sio rahisi

Leo Kila mtu yupo upande wa mtoa mada sisi watu sisi jaman mmh 😳
 
Kwanini wanawake wanawazungusha wanaume kwenye mitongozo,

Ni kuwa hao wanaume wanataka sex kwa muda huo huo watakao kubaliwa.

Kuna mkaka alinitumia nimtongozee shost angu, kweli akakubali na walivopeana mawasiliano, siku ile ile jamaa akagusia kuhusu mzagamuo, shoo alivo hamaki, jamaa anasemaje sasa km ushakubali tuwe wapenzi, kwann hutaki sex? Kwan mahusiano yetu ni ya nn? Urafiki au mapenzi?

Shostie kaja kwangu, ananionesha text za yule jamaa hadi nilichoka, nikamuambia wee temana nae huyu kibungo, na akamtema, jamaa anakuja kwangu nikamchana pia wee nenda kimboka huko ukajipatie hitaji lako, usisumbue watu hapa. Lol.

Ila wanaumee, khaaah. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wao wanawaza mbususu tu, ila hivi viumbe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Sasa si ujibu tu vizuri useme 'it's too early'.
 
Safi sana hata mimi wajukuu zangu huwa nawaambia kuchelewa kumpa mwanaume jibu sio kwamba hatakuoa wewe ni malaya, mimi nikitongoza manzi huwa napenda anipe jibu hapo hapo ili nifanye mambo mengine ya kujenga nchi nikubalie au nikatalie au usipokubali kwa mdomo nikubalie kwa matendo nitaelewa tupo pamoja lakini ukianza utoto wa sijui nipe muda huwa nafuta na namba haoo hapo then natongoza wengine.
 

Yeah! Upo sawa kabisa
 
Mwanamke akianza mambo ya nakufikiria au nipe muda huyo anataka akufanye spare tyre au akuweke kwenye friend zone akiendelea kukupiga mizinga na kunufaika na wewe bila kutinduliwa.

Ati ananifikiria πŸ€“πŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…