MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,065
Nyumba namba ngapiNipo hapa nyumbani kwangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba namba ngapiNipo hapa nyumbani kwangu
007 sinza cNyumba namba ngapi
Hahahahahaaaaanenda kaishi Njombe hutoi jasho kabsa
hiyo ni dawa ya kudumu
Na wanaonuka midomo jeunaweza nawia maji ya ukoko wa ugali au maji ya limao
Hahahaa aya007 sinza c
UnachekaaaHahahaa aya
Hutaki nichekeUnachekaaa
Dr gan anaanza kucheka badala ya kutoa hudumaHutaki nicheke
Jasho kwenye gololi sio mchezo ujueDr gan anaanza kucheka badala ya kutoa huduma
Hehehehehe....una experience naloJasho kwenye gololi sio mchezo ujue
azingatie kupiga mswakiNa wanaonuka midomo je
ugali wa mahindiMaji ya ukoko wa ugali wa mahindi au muhogo
Kwa kipindi cha muda gani ufanye hivyo?Maji ya ukoko wa ugali.
Ukishajiandaa unataka kutoka jisugue na kipande cha limao kwapani acha yale maji maji yakauke usijifute vaa nguo yako saaaafi kabisa siku nzima utakuwa fresh...
Uwe unajisugulia baking soda unaichanganya na maji kidogo...
AkuuuuHehehehehe....una experience nalo
MhAkuuuu
Tupatie kapicha tuionePia kuna deodorant zipo Oriflame kwa tsh 8,000/= ni nzuri na hukausha kabisa kwenye kikwapa na kuna body lotion zuri kwa ngozi na hazina jasho pia