Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Maji ya ukoko wa ugali.
Ukishajiandaa unataka kutoka jisugue na kipande cha limao kwapani acha yale maji maji yakauke usijifute vaa nguo yako saaaafi kabisa siku nzima utakuwa fresh...
Uwe unajisugulia baking soda unaichanganya na maji kidogo...
Kwa kipindi cha muda gani ufanye hivyo?
 
Mkuu jaribu kuogea sabuni medicated.....na ikibidi tumia na maji ya moto...
 
Back
Top Bottom