Una uhakika wa 100% kuwa Siku hizi hakuna Magazeti ya 'Kuikosoa' Serikali? Tatizo lenu mnalazimisha mnayoyataka na siyo 'Maadili' yanavyotaka.Mfumo wa chama kimoja utafanya maisha ya mtanzania kubadilika kabisa, kiuchumi, kijamii nk.
Tukiongelea upande wa magazeti hamna kipya kwa kweli, habari ni zile zile na watu ni wale wale tutakaowasikia. Hiyo ni mbaya maana itapelekea watu kutonunua magazeti na mwisho wake waandishi kwenye kampuni hizo kupunguzwa ili kuenenda na gap.
Zile habari za kiuchunguzi na kukosoa serikali na viongozi hakuna tena, zimebaki zile za kupamba serikali na viongozi wake tu
Watu wengi wanaona ni bora kuingia YouTube na mitandao Mingine ambayo habari hazijaelemea upande mmoja ili kupata wanachohitaji
Maadili yapi unayoyaongelea kiongoz?Una uhakika wa 100% kuwa Siku hizi hakuna Magazeti ya 'Kuikosoa' Serikali? Tatizo lenu mnalazimisha mnayoyataka na siyo 'Maadili' yanavyotaka.
Ni Maadili gani unayoyaelewa Wewe Kiongozi?Maadili yapi unayoyaongelea kiongoz?
Lakini biashara ya magazeti ilishafifia tangu kitamboTunakoelekea kila goti litapigwa
Ni mfumo wa chama kimoja bungeni buana [emoji23][emoji23][emoji23]Biashara ya Magazeti imefunikwa na ukuaji wa teknolojia na hii almost ni Worldwide.
nakumbuka kipindi kile nikikosa gazeti la mwanahalisi nilikua najisikia kuumwaBiashara ya magazeti iko ICU uko sahihi
Mimi sipo huko kwenye ushabiki wakisiasa labda uendelee kujadili/kubishana na wenzako.Ni mfumo wa chama kimoja bungeni buana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushabiki wa kisiasa ni nini? ukijadili hali ya nchi yako kisiasa ushakuwa shabiki wa kisiasa?Mimi sipo huko kwenye ushabiki wakisiasa labda uendelee kujadili/kubishana na wenzako.
Haya ndugu.Mimi sipo huko kwenye ushabiki wakisiasa labda uendelee kujadili/kubishana na wenzako.