Kununua magazeti siku hizi ni kupoteza pesa yako

Nasikia hata kina New York Times na Washington Post wanapumulia mashine. Kwa huu ukuaji wa teknolojia, watu tunapata habari za hivi punde "breaking news" dakika hiyo hiyo utake gazeti la nini. Ndio maana nao wameona waanzishe kama vile Mwananchi online ili kuendana na mabadiliko.
 
Hata hizi online zenyewe watu watakuwa wanaangalia zile ambazo haziegemei upande wowote,.
Watu wanataka News na sio maswala ya kusifu na kuabudu ilihali wamenunua bando kwa gharama
 
Watapata kupitia chaneli zao za yutubu. Lazima itatafutwa namna ya kuingiza pesa!
 
Mimi siyo magazeti tu hata kusikiliza radio vipindi mbalimbali ni nadra sana,zaidi ya vipindi vya dini sina kingine ninachosikiliza.
 
nakumbuka kipindi kile nikikosa gazeti la mwanahalisi nilikua najisikia kuumwa
Yalikuwa yanadoda ukichelewa kununua. Mwana halisi liliuzika sana kwasababu watanzania wengi ni wambea na wanampenda umbea.
 
Back
Top Bottom