Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,468
- 2,767
Tukiachana na masuala ya siasa, biashara ya magazeti ipo matatani sana, technology inaiua kila kukicha.
Linaweza tokea jambo fulani ila binafsi sehemu ya kwanza kufika ili kupata taarifa za uhakiki ni JF au Twitter.
Waandishi wenyewe taarifa wanazitolea mtandaoni kisha wanaandika, watu wanakaa kufuatlia account za watu fulani huko social media kwa lengo la kupata habari fulani za kuandika.
Andaeni websites au blogs ama hata social media accounts kwaajili ya kuweka hizo habari, ila magazeti dah!!
Hali tete wazee