Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,468
- 2,767
Pita kushoto na maswali yako ya darasa la pili.Ushabiki wa kisiasa ni nini? ukijadili hali ya nchi yako kisiasa ushakuwa shabiki wa kisiasa?
Sawa bossKwani ili gazeti liuze ni lazima liikosoe serikali ? Tatizo mnapenda umbea tu wa siri za nchi. Nchi ipo kwenye mikono salama, pigeni kazi na someni magazeti yanayotangaza mema ya nchi.
View attachment 1628977
View attachment 1628978
Hata mwananchi na nipashe linaelekea kule kule hamna kituHata Daily News, The Citizen, The Guardian saizi kuna muda wanajaza kurasa za matangazo, habari za mitindo na mambo yasiyo na msingi. Wakati ndio gazeti zilizokuwa na Matangazo ya michongo ya pesa na tenda.
Vyombo vya habari vinakula kipondo,hakuna jinsi vitaacha kumtumikia KAYAFA!Shida walizonazo wananchi ni nyingi kuliko hizo sifa
Hatakujibu hugo sana atatukana.Ni Maadili gani unayoyaelewa Wewe Kiongozi?
MI nilikuwa mpenzi wa. Magazeti sana lakini sasa nina zaidi ya miaka Miwili sijanunua gazetiMe nikiwa na hamu ya kusoma magazeti naenda kwenye shelf nachukua yale ya zamani kama JITAMBUE na MSHAURI WAKO najikumbusha tuu makala za wakati huo,sina muda na magazeti yetu ya sasa kwakweli...
Tuko wengi. Tangu citizen na Mwananchi waanze kusifu na kuabudu sisomi Tena haya magazeti ya kufungia nyamaMfumo wa chama kimoja utafanya maisha ya mtanzania kubadilika kabisa, kiuchumi, kijamii nk.
Tukiongelea upande wa magazeti hamna kipya kwa kweli, habari ni zile zile na watu ni wale wale tutakaowasikia. Hiyo ni mbaya maana itapelekea watu kutonunua magazeti na mwisho wake waandishi kwenye kampuni hizo kupunguzwa ili kuenenda na gap.
Zile habari za kiuchunguzi na kukosoa serikali na viongozi hakuna tena, zimebaki zile za kupamba serikali na viongozi wake tu
Watu wengi wanaona ni bora kuingia YouTube na mitandao Mingine ambayo habari hazijaelemea upande mmoja ili kupata wanachohitaji
Tunakoelekea kila goti litapigwa