Hata hizi online zenyewe watu watakuwa wanaangalia zile ambazo haziegemei upande wowote,.Nasikia hata kina New York Times na Washington Post wanapumulia mashine. Kwa huu ukuaji wa teknolojia, watu tunapata habari za hivi punde "breaking news" dakika hiyo hiyo utake gazeti la nini. Ndio maana nao wameona waanzishe kama vile Mwananchi online ili kuendana na mabadiliko.
Watapata kupitia chaneli zao za yutubu. Lazima itatafutwa namna ya kuingiza pesa!Hata hizi online zenyewe watu watakuwa wanaangalia zile ambazo haziegemei upande wowote,.
Watu wanataka News na sio maswala ya kusifu na kuabudu ilihali wamenunua bando kwa gharama
Yalikuwa yanadoda ukichelewa kununua. Mwana halisi liliuzika sana kwasababu watanzania wengi ni wambea na wanampenda umbea.nakumbuka kipindi kile nikikosa gazeti la mwanahalisi nilikua najisikia kuumwa
Kama yapo tutajie hata moja!Una uhakika wa 100% kuwa Siku hizi hakuna Magazeti ya 'Kuikosoa' Serikali? Tatizo lenu mnalazimisha mnayoyataka na siyo 'Maadili' yanavyotaka.
NEC Daily.Kama yapo tutajie hata moja!