Igurumuki Masanja
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 993
- 2,021
Umetisha mkuu ana masters halafu bado anabikra !? Nafikili itakuwa ni maajabu ya duniaWewe ni mpumbavu,.......usigeneralize mambo,..........
Conclusion labda iwe kuoa mwanamke asiye bikira,ama aliyetumika,.............wapo wanawake kibao wanamaliza Hadi masters wakiwa Bado ni bikira
Ni Condom iliyotoboka.Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu.
Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha.
Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora
Wanachuo wa kike ni takataka
Baadhi yao si woteWanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu.
Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha.
Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora
Wanachuo wa kike ni takataka
Kama hutaki hao wanawake waolewe tutakuoa wewe basiMpuuzi huyo ni wewe.
Huyu ni graduate kabisaHawa ndo waliofika chuo kikuu.. π π π
View attachment 3199656
Very bad,unajua imefikia hatua wanaume wamehalalisha wake zao wachepukeHuu ndo uhalisia wa maisha ndani ya Ndoa.. ππ. Kumechangamka kweli kweli
Hatari sana, hapo utakuta ndoa imetumia garama ya kufa mtu.. Ukisikia mke anachepuka. Mwili una paralyze kwanza, baada ya hapo sukari inashuka.Huyu ni graduate kabisa
Kesho unasikia amuua mpenzi wake mwanaume anaanza kulaumiwa
Mhhh, ila sidhani kama wamehalisha, labda kwenye angle ipi, unajua kila nikiangalia naona sioni sababu ya kuchepuka ukiachana na:-Very bad,unajua imefikia hatua wanaume wamehalalisha wake zao wachepuke