Igurumuki Masanja
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 993
- 2,021
Umetisha mkuu ana masters halafu bado anabikra !? Nafikili itakuwa ni maajabu ya duniaWewe ni mpumbavu,.......usigeneralize mambo,..........
Conclusion labda iwe kuoa mwanamke asiye bikira,ama aliyetumika,.............wapo wanawake kibao wanamaliza Hadi masters wakiwa Bado ni bikira