Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Hayo ni mawazo yako wewe, mimi nakuambia ninao ona kwangu, buana ni cheat na tafuta nini tena wakati naridhika 95%
Siri ya mtungi. Wewe kwa amani yako baki hivo hivo ili usijitafutie shida. Cha muhimu ni kumuamini mwenzako.
 
Hizo Bikra wanaotoa si ndo hao hao wanataka kuoa bikra
Yaani wanashangaza kweli Yani hawajui hata nini wanahitaji, sababu maneno na matendo yao ni vitu viwili TOFAUTI.

ME anakwambia hawezi kusubiri mpaka baada ya ndoa, hapo hapo siwezi kuoa bikra🤔🤔, badiliken kaka zangu huo ni ujinga Sana.
 
Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.

Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.

Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.

Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."

Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.

Mungu awaondolee ujinga.
We tulia na huyo mke wa mtu bana, kelele za nini?.
 
Unadanganya watu ati wewe na mume wako. Mbona una hasira. Wewe kama ulipoteza bikira na hadi sasa hujaolewa kaa kwa kutulia. Huyo unayemuita mumeo si mumeo. Mumeo ni yule aliyeondoa bikira yako na pengine hujui hata yuko wapi. Waache hao wanaume wanaoamini kuoa wanawake bikira na akili ujinga wao.
 
Mimi sipo serious kihivyo Mkuu..
Ila naamini wababa wazoefu humu waliowahi kuwashindanisha wanawake kati ya mwenye bikra na asiyenayo kwenye ubora wa kuenzi ndoa ipasavyo wanaweza kutupa uhakika wa hilo.
Ngoja waje tuwasome
 
Naam.Tena nitakuwa mwenye kujilaza kwa upole kando ya kijito cha pombe huku mabikra wangu wakinipetipeti.Nitakuwa mwenye furaha iso kifani.Nacheka tu huku nikipapaswa sunna ya ndevu.🙏
Aiseee!! Sasa kwa Nini unakubali kuendelea kuwa katika Dunia hii iliyojaa mahangaiko mengi na taabu!!

Kwa Sasa pombe unakunywa?
 
Naam.Tena nitakuwa mwenye kujilaza kwa upole kando ya kijito cha pombe huku mabikra wangu wakinipetipeti.Nitakuwa mwenye furaha iso kifani.Nacheka tu huku nikipapaswa sunna ya ndevu.🙏
Hivi mkuu hao mabikra wa kukupetipeti huko uendako baada ya Kifo watatoka wapi?

KE nao baada ya Kifo watapewa tuzo za ME bikra? Inakuwaje mambo haya bro??
 
Back
Top Bottom