mwanamme hana bikira.Bikira anastahili bikira mwenzake wa kufanana nae, waanze wote moja, wajifunze pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanamme hana bikira.Bikira anastahili bikira mwenzake wa kufanana nae, waanze wote moja, wajifunze pamoja
Maamuzi wa kutoa bikra yapo kwa mwanamke mwenyewe kama akiwa na msimamo sizani kutakuwa na mwanaume mwenye uwezo wakumbadilisha mtazamo na msimamo unasababishwa na malezi ya wazazi wakeWapi nimesapoti watoe bikira?
Ingependeza wewe ukachukua jukumu la kuwashauri wanaume waache kutoboa bikira za wanawake wasio wake zao.
Mtoto wa mamdogo akakuona upo JF akaamua aibe jina sio?ni mtoto wa mamamdogo yangu, 'binamu' nadhani
Wewe bwana bikra mchina wapi wakati mie napata kitu brand new kama cha king mswati the thirdEndelea kutoboa bikira za mchina jinga wewe 😜
Hebu fafanuaWababa mjue kwamba kuna bikra aina mbili. Pwani waeza pata bikra fulani ingine ikawa mtihani. Kwa bara pia unaweza pata moja upande mwingine ikawa mtihani.
UCHAGUZI NI WENU KWENDA BARA AU VISIWANI
Una uhakika huyo uliyempata hana bikira ya mchina?Mm binafsi niligoma kuoa mwanamke ambae sio bikra nimempata na mwez wa 12 ndoa yetu siwez oa mwanamke ambae muda wote anamkumbuka jamaa aliyemtoa bikra
Kabra ya kumpata huyo bikra ulikuwa ushapita na wangapi mkuu au ni wa ngapi uliwatoa bikra na hukuwaoa na zaidi ulijua kabisa nafsini mwako hukuwa na nia ya kuwaoa?Mm binafsi niligoma kuoa mwanamke ambae sio bikra nimempata na mwez wa 12 ndoa yetu siwez oa mwanamke ambae muda wote anamkumbuka jamaa aliyemtoa bikra
Kabra ya kumpata huyo bikra ulikuwa ushapita na wangapi mkuu au ni wa ngapi uliwatoa bikra na hukuwaoa na zaidi ulijua kabisa nafsini mwako hukuwa na nia ya kuwaoa?Mm binafsi niligoma kuoa mwanamke ambae sio bikra nimempata na mwez wa 12 ndoa yetu siwez oa mwanamke ambae muda wote anamkumbuka jamaa aliyemtoa bikra
Ni kweli. Binafsi ninachokijua hao Bikra siku bikra ikitoka huwa watulivu sana, lakini punde huanza kutamani kujua tofauti ya kujamiiana na wengine tofauti na aliemtoa bikra.Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Dùh,Baadae kuja kuongea na demu akasema alipewa dawa ya kufunga na mama yake kumfanya awe na utepe tena.
Mumewe mpaka leo anaamini kambikiri mkewe kumbe demu keshabikiriwa toka kinda. Hata mimi sikumkuta na bikra.
Siku hizi ukipata mwenye tabia njema shukuru Mungu, mambo ya bikra ni bahati nasibu kama ilivyo shape na rangi.Dùh,
Ila nasikia hata Kariakoo kuna dawa za Wachina za kutengeneza bikra. Bibi yeyote anaweza kuwa sealed akitaka
Kuna msemo... 'Harusi imesema' kama akikutwa na bikra siku ya harusi.Tatizo bikra zinauzwa madukani siku hizi.
Kuna binti wa Kidigo nilisoma nae Uganda, ilikuwa tunaishi kama mke na mume na kufanya yote kama wanandoa.
Baada ya kumaliza shule aliambiwa tu kuwa kuna mume katokea na anaolewa.
Moja ya mila za watu wa Tanga ni kuweka shuka nyeupe chumba cha bwana na bibi harusi usiku wa kwanza baada ya ndoa. Wakikuta damu inamaanisha demu alikuwa bikra na wazazi hupewa zawadi.
Kwa yule binti damu ilitoka nyingi na sifa kedekede kwenda kwa wazazi wake kuwa wamemlea vyema.
Baadae kuja kuongea na demu akasema alipewa dawa ya kufunga na mama yake kumfanya awe na utepe tena.
Mumewe mpaka leo anaamini kambikiri mkewe kumbe demu keshabikiriwa toka kinda. Hata mimi sikumkuta na bikra na alishapanch mimba kadhaa.