MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Mimi nilisoma na kaka mmoja mkewe alimuoa akiwa mkamili,yule dada anakua km mjinga Kwa rafiki na akitoka mishe zake ni home yaani humkuti na mwanaume au marafiki yupo busy na familia yake and mumewe ,masela wamewinda wapiii km yupo then huo uficho ni mkubwa sn ila Shem ametulia sana.Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Hii mada dada utaumbuka bure iache kabisa