Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Hayo ni mawazo yako wewe, mimi nakuambia ninao ona kwangu, buana ni cheat na tafuta nini tena wakati naridhika 95%
Siri ya mtungi. Wewe kwa amani yako baki hivo hivo ili usijitafutie shida. Cha muhimu ni kumuamini mwenzako.
 
Hizo Bikra wanaotoa si ndo hao hao wanataka kuoa bikra
Yaani wanashangaza kweli Yani hawajui hata nini wanahitaji, sababu maneno na matendo yao ni vitu viwili TOFAUTI.

ME anakwambia hawezi kusubiri mpaka baada ya ndoa, hapo hapo siwezi kuoa bikraπŸ€”πŸ€”, badiliken kaka zangu huo ni ujinga Sana.
 
We tulia na huyo mke wa mtu bana, kelele za nini?.
 
Unadanganya watu ati wewe na mume wako. Mbona una hasira. Wewe kama ulipoteza bikira na hadi sasa hujaolewa kaa kwa kutulia. Huyo unayemuita mumeo si mumeo. Mumeo ni yule aliyeondoa bikira yako na pengine hujui hata yuko wapi. Waache hao wanaume wanaoamini kuoa wanawake bikira na akili ujinga wao.
 
Mimi sipo serious kihivyo Mkuu..
Ila naamini wababa wazoefu humu waliowahi kuwashindanisha wanawake kati ya mwenye bikra na asiyenayo kwenye ubora wa kuenzi ndoa ipasavyo wanaweza kutupa uhakika wa hilo.
Ngoja waje tuwasome
 
Naam.Tena nitakuwa mwenye kujilaza kwa upole kando ya kijito cha pombe huku mabikra wangu wakinipetipeti.Nitakuwa mwenye furaha iso kifani.Nacheka tu huku nikipapaswa sunna ya ndevu.πŸ™
Aiseee!! Sasa kwa Nini unakubali kuendelea kuwa katika Dunia hii iliyojaa mahangaiko mengi na taabu!!

Kwa Sasa pombe unakunywa?
 
Naam.Tena nitakuwa mwenye kujilaza kwa upole kando ya kijito cha pombe huku mabikra wangu wakinipetipeti.Nitakuwa mwenye furaha iso kifani.Nacheka tu huku nikipapaswa sunna ya ndevu.πŸ™
Hivi mkuu hao mabikra wa kukupetipeti huko uendako baada ya Kifo watatoka wapi?

KE nao baada ya Kifo watapewa tuzo za ME bikra? Inakuwaje mambo haya bro??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…