Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Mimi nilisoma na kaka mmoja mkewe alimuoa akiwa mkamili,yule dada anakua km mjinga Kwa rafiki na akitoka mishe zake ni home yaani humkuti na mwanaume au marafiki yupo busy na familia yake and mumewe ,masela wamewinda wapiii km yupo then huo uficho ni mkubwa sn ila Shem ametulia sana.
Hii mada dada utaumbuka bure iache kabisa
 
Hivi mkuu hao mabikra wa kukupetipeti huko uendako baada ya Kifo watatoka wapi?

KE nao baada ya Kifo watapewa tuzo za ME bikra? Inakuwaje mambo haya bro??
Ngoja niweke kambi hapa nisubiri majibu ya mwenyekiti wa mgao wa mabikira 72
 
Sawa tu hata iwe fake ama yakutengeneza kikubwa amani ya moyo. Lkn kukuta kabisa abdalah kapita asee asee aseeeeeee
 
Hivi mkuu hao mabikra wa kukupetipeti huko uendako baada ya Kifo watatoka wapi?

KE nao baada ya Kifo watapewa tuzo za ME bikra? Inakuwaje mambo haya bro??
Wale tutakuwa wenye kuandaliwa tayari.Wanawake wakifa watakuwa wanapalilia kingo za mito ya pombe na kumwagia bustani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…