Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Umeongea ukweli mkuu, na sababu moja wapo ya haya yote ni wanaume tumekubali kuzishusha thamani zetu mbele ya mwanamke.

Leo hii mpaka non-virgin women wanajiweka kwenye mzani sawa na virgin women linapokuja suala la kuolewa, mbaya zaidi wanajiona wana haki mpaka ya kutolewa mahari.
 
Kwanza ujue bikira ni kwa mwanamke. Mwanamme hana bikira.

Kuoa mwanamke ambaye ni bikira na ukamtimizia nahitaji yake ya kibinadamu assurance ya kudumu naye kama mke ni 100%.


Sasa nyie ambao tiyari nshaonjwa na mishedede kibao, hata mpewe nini, kutulia kama mke assurance ni 0%.
 
Mwamba majibu yako yamepitishwa na TBS
 
Viginity ni ukosefu wa oppotunity,ishi nayo itakusaidia!
 
Hakuna mtu asiyependa gari mpya (0 km), gari used ni kwamba bajeti si rafiki.
 
Kwenda zako huko....bikra muhimu.
Hatudanganyiki. Jamani ogopeni huyu tapeli🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hujui bikra na hujui maana yake
 
Nalipa mahari ya kutunziwa nini wakati nimekuta mwanamke ashatumika? Mimi kama mwanaume nitaheshimika vp kwenye jamii yangu kuoa mwanamke ambae uchi wake ushafunuliwa na wanaume wengine?
Kwa hiyo unangojea bikira wa kuoa?

Hivi hujui kuwa mchina huwa anatengeneza na kuuza bikira, siku ukikutana na demu mwenye bikira iliyotengenezwa na mchina utajisifu kuwa umebikiri demu ilhali demu alishabikiriwa kitambo kisha kwa kuusoma ujinga wako akakununulia bikra ya mchina jinga wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…