Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Umeongea ukweli mkuu, na sababu moja wapo ya haya yote ni wanaume tumekubali kuzishusha thamani zetu mbele ya mwanamke.Sister una akili mbovu sana.
Hapo mambo ya kuachana ni majaliwa, hakuna couple wanaoana ili waachane, ni bahati mbaya zinatokea hamuendani ila hio hoja ya kusema uoe mwanamke yoyote tuu mwenye bikra au asiyekuwa nayo just because umeona wanawake wameolewa bila bikra na ndoa zimedumu ni hoja mbovu sana
Kila mwanaume ana qualities na standard anazotafuta kutoka kwa mwenza wake, sasa kama mwanaume anataka mwanamke bikra ni standard zake alizojiekea, kitendo cha wewe kusema ana akili za kijinga inaonesha jinsi gani ulivokuwa "Mpumbavu wa akili" kwa kupangia watu standard.
Kila mtu anatafuta kilicho bora madam regardless what the future holds, na tusifichane bikra ni bora, kwasababu ina akisi utulivu wa mwanamke na uaminifu wake kitu ambacho ni nadra sana kwa wanawake wa sikuiz.
Kama wewe hutaki kuolewa na mwanaume masikini kwann mwenzako akitaka kuoa mwanamke "pure" aliyejitunza kwaajili ya mumewe, hakufanya umalaya wakati wa ujana, unamwita mjinga? Standard zako sio standard zetu, Fikra zako sio fikra zetu.
Kubali ukatae mwanamke aliyefanya mapenzi na wanaume wengi uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja unapungua, why? kwasababu tayar huyu mwanamke anakuwa ame-develop preferences na hakuna kitu kibaya kama mwanamke aliye-develop preferences kwasababu ana kuwa ana judge vitu kulingana na experience(preferences) alizopitia, najua utabisha kwamba mwanamke akilala na wanaume wengi uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja unapungua but i'm happy to inform that this is scientific, soma hapo chini.
View attachment 3119306
Hoja yako ni weak sana kwasababu thamani ya mwanaume ni tofauti na thamani ya mwanamke, kinachompa uthamani mwanamke ni tofauti kabisa na kinachompa uthamani mwanaume.
The Value of Woman is in her past.
The Value of Man is in his future.
Women are born with Value.
Men are born without Value.
Women have much to loose.
Men have more to gain.
Bi zandile
Leo hii mpaka non-virgin women wanajiweka kwenye mzani sawa na virgin women linapokuja suala la kuolewa, mbaya zaidi wanajiona wana haki mpaka ya kutolewa mahari.