Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Dada, zunguka kusema hiki na kile…fariji watu kuwa kuna za kutengenezwa. Wambie watu kuwa thamani ya mwanamke si lazima Bikra….bado ukweli upo palepale kuwa KAMA HUNA BIKRA KABLA YA NDOA KWASABABU YA “USHAKUWA NA MAHUSIANO NYUMA”, MWANAUME ATAKAEKUOA KAOA USED. Nakwambia Hakuna Mwanaume ambae anapenda kuoa USED….wanajifariji tu kama unavyojifariji wewe.
 
Sister una akili mbovu sana.
Akili mbovu unayo mwenyewe kwa kukimbilia kutoa comment pasipo kusoma na kuelewa hoja yangu..

Msimamo wangu ni huu.. Besides, virginity doesn’t make marriage work. What makes marriage work is selflessness, forgiveness, kindness, patience and commitment.

Acha akili mbovu.
 
Wanaume ni wa kuonewa huruma zaidi kuliko wanawake, kwa jinsi dunia yetu ilipofikia…
 
Tena huko Tanga usithubutu aisee huo mkoa una mambo ya kijinga kijinga sana
 
Bila shaka ulitembeza sana kilometa ukauza used kwa kisingizio cha kutotumika bongo.

Nadhani hoja yako unahitaji uiweke vizuri maana wapo walioa Bikra na wanafurahi ,wengine ni wazazi wetu. Ndo ni kamari ukibahatika umetusua wala havina mahusianona unayoyasema japo ukioa mwanamke ambaye hajatumika inakugurantee kua ana heshima na wazazi wake walimlea vyema.
 
Umeleta hoja nzuri lkn umeshindwa kuitetea.
Utetezi wa hoja yangu ni huu hapa... "Besides, virginity doesn’t make marriage work. What makes marriage work is selflessness, forgiveness, kindness, patience and commitment."

Kama hujaelewa rudi kwa maelezo ya mada soma tena na tena na tena utaelewa.
 
Biblia yetu sisi wakristo haikusema tuoe bikra ilisema tutapata mke kutoka kwa Bwana haya mambo ya awe bikra au asiwe bikra ni machaguo ya kibinafsi sana kutoka kwa wanadamu wenye jeuri na kiburi kilichokomaa. Kumbukeni tunaishi Agano Jipya sio la kale, Asanteni
 
Kama lengo ni kuoa mwenye bikra na kila mwenye bikra anafaa kuolewa na hatatizo naomba kuuliza nani alitoa bikra?? Mbona hakuoa kama bikra ni sifa ya pekee ya mwanamke. Bora hakuna Cha ziada??
Fatilia hizo bikra zinatolewa hao wote wawili wakiwa kwenye stage ipi, ndio jibu lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…