Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Mimi nilioa mke bikra mpaka leo sijawahi kuona chembe chembe za kutoka nje, mke bikra ana uzuri wake asikuambie mtu.
Sio ajabu mbona...

Tangu mchina awekeze kwenye biashara ya kutengeneza bikira limeibuka kundi la wapumbavu kama wewe wenye kujisifu kuwa walioa bikira ilhali huyo demu alishatumika sana kisha akaenda kwa mchina kununua bikira ili kumfurahisha mjinga kama wewe
 
Kwahiyo unawafundisha nini Mabinti wadogo ambao hawajaolewa bado?

Kwamba hata wakitolewa Bikra hakuna tatizo kwasbb haitaathiri ndoa zao?
 
Kwahiyo factor zipo nyingi na sio factor Moja pekee ya bikra?? We umetoa bikra ngapi na hujaoa?? Huoni kama we ndo tatizo??
Ndio factor zipo nyingi, mm mpaka sasa nmetoa bikra mbili. Wa kwanza alikuwa beki tatu home kipindi hicho ila akatafutiwa mume na wazazi wake huko kijijin kwahy akasepa, wapili nae tulikuwa mjini ila alienda kijijini alipozaliwa na huko akaamua kumtunuku boy wake wa kijijin akapata na mimba so tukaachana hvy.
 
Mkuu umejua kunifurahisha kwa kuweka wazi huo ukweli..

Wapo wajinga hawalijui hili la bikira kuuzwa dukani 🤣🤣
 
Povu jingi sana hili dah! Sijui wamekufanya nini mjukuu.
 
Wakware wa kiume hawawezi kukuelewa mkuu japo una hoja nzur
Kitambo sana, nimeolewa na mwanaume gentleman kabla hajanioa hakuwahi hata kuuliza niliwahi kutoka wanaume wangapi, ananipenda na mimi nampenda our marriage works

Mwamba yupo hapa hapa jf.
Ok sawa,Alie kutoa bikra unamkumbuka?
 
Acha wizi wewe.

Credit: Saint Topman Michael

Au ni wewe, una ID kibao.
 
Nakuunga mkono mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…