Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Mkuu umemsoma huyu mwamba Ngurukia?

Kama bado nakusogezea alichoweka wazi......

Tatizo bikra zinauzwa madukani siku hizi.

Kuna binti wa Kidigo nilisoma nae Uganda, ilikuwa tunaishi kama mke na mume na kufanya yote kama wanandoa.

Baada ya kumaliza shule aliambiwa tu kuwa kuna mume katokea na anaolewa.

Moja ya mila za watu wa Tanga ni kuweka shuka nyeupe chumba cha bwana na bibi harusi usiku wa kwanza baada ya ndoa. Wakikuta damu inamaanisha demu alikuwa bikra na wazazi hupewa zawadi.

Kwa yule binti damu ilitoka nyingi na sifa kedekede kwenda kwa wazazi wake kuwa wamemlea vyema.

Baadae kuja kuongea na demu akasema alipewa dawa ya kufunga na mama yake kumfanya awe na utepe tena.

Mumewe mpaka leo anaamini kambikiri mkewe kumbe demu keshabikiriwa toka kinda. Hata mimi sikumkuta na bikra.

Huo ndio ukweli mchungu..

Endeleeni kuwaheshimu mabikira wa zama hizi za kidigital 🤣
 
Hoja yako ni nzuri ila sasa usisapoti wanawake wawe wanatoa bikra zao
Wapi nimesapoti watoe bikira?

Ingependeza wewe ukachukua jukumu la kuwashauri wanaume waache kutoboa bikira za wanawake wasio wake zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…