Kuoa mwanamke masikini

Mwanaume atakula kwa jasho hii ndo kanuni if you wish to go against it,you have crossed a red line
 
eeeee kuna jela , noma sana , mimi nachojua pesa karatasi
 
Uchumi ndio umetufikisha hapa… watu tunaonana mizigo….

Ukweli ni kwamba japokua Una hela sasa hivi mtoa mada ulikulia tabu au ushawahi ku struggle na pesa ujanani, kuna kipindi ulikua uncertain na uchumi wako, that’s why Unaona uwe na uhusiano na mwanamke anaye offer security, pole sana insecurities zako zitakuletea mahusiano yasio na furaha au utabaki mwenyewe baada ya mahusiano kuvunjika, leo Unaoa mwanamke ana kazi/biashara nzuri akifukuzwa kazini, biashara ikifa ndoa inakufa!!! Ni chaguo lako lakini
 
utaoaje maskini wakati hakuna mwanamke anayependa kuolewa na maskini, anakuja na kibegi baada ya miaka mitano ana anzisha visa mgawane mali,kuoa mwanamke maskini ni uzuzu
 
Kuna mwanamke ni masikini mwenye akili (mawazo na maono ya kimaendeleo) ila TU kakoswa support.
Mm upande wangu nitaoa anaenipa aman na fuhara swala la utajiri au umasikini sio kipaumbele sana
Wanaume wengi tunahitaji amani na upendo nyumbani,mimi nikitoka kazini nawahi nyumbani maana wife ananipa amani na furaha kuliko kazini nikiwa nyumbani nasahau dunia nyingine hahahah
 
Kwahiyo wewe una amini katika 50/50???
naipinga 50/50 .kwa sababu unamuoa fukara anaemiliki begi la lipstick tu baadae anakusumbua,wakati umehaso sana kufika mahali ulipo.ambapo nimekosoa nihapo ulipo dai mwanaume atakula kwa jasho.ndomana nikauliza andiko la 50/50 limetoka kwenye kitabu gani?..maana mwanamke masikini ni unyonyaji,unahangaika we ye anafika kula jasho lako hiyo haikubaliki ndugu
 
Oa tu chief ila atapojua mji apo ndipo utaelewa kwanini mbuzi alikua na mkia mfupi
 
Kwaiyo unahis ukioa tajiri siku mkiachana mtagawana had Mali zake ulizomkuta nazo? Ukiona tajiri jua awezi kosa mbinu ya kulinda Mali zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…